Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Aisee
 
Nadhani huumpi muda wa kutosha Mke wako,kumdekeza kumsikiliza na kutoka nae mara chache bali uko busy tu na biashara. Futeni yaliyopita. Anzeni upya mna familia.
Mimi niliwahi kuyafuata hayo yote ila yule shetani alinifanyia ujinga tu ...nilichojifunza mwanamke asipokuwa na chembe ya upendo kwako hakika utateseka sana
 
Pole sana mkuu.
Mtupe beach mapema ataleta magonjwa uyo sikio lakufa uyo

Watoto warudishe kusini
 
Upo sahihi kabisa kwa hao wachache niliopata kuishi nao jirani mqendo ndiyo huo huo,na mama zao wanachangia sana hili
 
Hilo swala la kujifanya anatazama vipindi vya television usiku limenikuta pia na lilianza ghafla na mwisho wa uchunguzi ni kama ulivyosema huwa lipo hivyo.

Mimi pia niliwahi kurudi ndani kimya akawa anaongea na simu bila kujua nipo nikayasikia mengi sana ameingia chumbani ghafla ananikuta akataka kuanza kujijitea nikaondoka zangu sijawahi kuuliza chochote.

Yote kwa yote si mjita wala nini tena linajifanya lisabato hasa.
 
Ao Vimeo wanaojifanyaga wanayajua makanisa ndio njaa kumtupa
 
pole kiongozi. fanya maamuzi aisee
 
Sijasoma ila pole sana yaan kakuonea piga moyo konde utatoboa mwanangu wanawale si watu ni majin yanayokaa mliman city
 
Ndoa ni unafiki mno... kiukweli binafsi nataka nioe mwanamke kigori tena namfuata huko kanda ya ziwa vijijini huko tena asiejua kusoma wala kuandika...ndoa yangu ya kwanza nliisumbuliwa mno watu wawili ambao walimla mkewangu kabla sijamuoa...nikatafuta mke mwingine ila kabla sijamuoa nikafanya usaili fulani katika stor ndio akaniambia unifanye 2 mimi sitaridhika inabidi unipige 3 au 4 kiukweli nilighairi kumuoa
 
💔 Inasikitisha sana kusoma simulizi kama hii. Si kwa sababu ya usaliti pekee, bali kuona mtu amewekeza miaka mingi ya maisha yake, upendo, malezi ya watoto na hata kusaidia familia ya mwenza, halafu mwisho wake anabaki na majeraha ya moyo. Maumivu ya kusalitiwa na mtu uliyemwamini kwa miaka mingi ni makubwa kuliko wengi wanavyodhani. Mungu ampe nguvu na hekima kufanya uamuzi utakaolinda amani yake na watoto. 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…