Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Nawajua vizuri hao watu.
 
Ulisubiri watoto wakuwe Sasa niwakubwa.
Je,unasubiri nini Mzee wa Kazi.?
Unataka kufia ziwani na mawazo huku samaki wakikucheka?
 
Wakurya ni watu poa sana mkuu though huwezi sema wote ila asilimia kubwa ya wanawake kutoka Tarime wako 👍
Dada zangu hoyeeeee🔥🔥🔥,ndio uone umuhimu wa mwanaume kuwa kichwa Cha familia,huku watoto wanapata darasa tangu wakiwa wadogo kwamba msikilize mumeo na una mume mmoja tu,uki mess up na hiyo kanuni tunavunja miguu
 
Wewe jamaa una uvumilivu sana, mimi nilimfatilia wife nikakuta tu anachati sana fala mmoja, nikawaacha ili nijue kilakitu, yaani ni kwamba baada ya kuona mambo kama yamebadilika simu ya wife nilidukua kilakitu anachofanya naona, nilifanya hivi baada ya kuona kama kuna mabadiliko.

nikagundua kuna jamaa halijakataliwa, na halijakubaliwa ila linapewa ushirikiano, Aisee hili kosa dogo nilikuwa naachana na huyu mkewangu tuna miaka saba na watoto wawili, mimi wala sijali kuhusu watoto sababu ntawachukua.

kunasiku yule fala alimtumia wife sms anakuja dukani amuone, mimi nipo home napitia tu vile wanachati, wife yupo dukani huwa anafunga saa tatu akamwambia yule fala aje tu.
Mimi nilikuwa home muda huo naangalia tu vile wanachati, gafla nikapata wivu nikamuambia wife afunge duka immediately nataka aje nyumbani, sikumueleza sababu nikasema "narudia FUNGA DUKA UJE NYUMBANI SAIVI"

wife akamuaga yule fala aliekuwa anaenda dukani akamuambia anafunga anaenda nyumbani "asimtafute na asitume sms mpaka atakapomtafuta" halafu akafunga akaja, mimi sikumuambia chochote, nikafikiria nisiingilie niache jamaa apige halafu nimuache wife yaani tuachane, au nimuache tu hata kabla hule fala hajapiga nikaona hii sio Fair nikaona njia bora nimtumie tu sms yule jamaa nimuambie aachane na wake za watu nimeshajua kilakitu nafatilia moves zake zote. hii sms nilituma muda huohuo nilomuambia wife aje home ili huyu fala ajue mimi najua yaani aunganishe dot, yaana wife kamuambia aende dukani yupo, gafla anaenda nyumbani halafu na sms kutoka kwangu aachane na wake za watu.

nikatuma hiyo sms, kumbuka hapo wife sijamuambia chochote tunaishi tu fresh kama hakijatokea kitu, kilichonishangaza lile jamaa halikumuambia wife chochote kwamba nimelitumia sms najua kilakitu, mimi nilitaka lile fala limuambie wife halafu wife ndo ajue kuwa najua kilakitu ajichekeche halafu ataacha mwenyewe, na hilo swala hatuta kaa kulijadili labda, yeye mwenyewe ajishtukie aombe msamaha ili nimuulize nikusamehe nini?

nilivyoona lile fala halimwambiii wife, na halisemi sababu lingetia kitumbua mchanga, nikaona ngoja niokoe hii ndoa kwa mara ya mwisho, nikakalisha wife kikao kizito, kwanza nikamuambia leo tunakikao kizito kidogo, nimeona tukae leo maana tungeachana bila kikao nikatumia mbinu moja ya mahojiano inaitwa controlled reveal hapa unaelezea scenario ambayo haiwezi kupingwa nikaelezea ile simu nilomuambia afunge gafla nilikuwa najua kuhusu yule mteja aliekuwa anakuja,

hii mbinu inaitwa "shock and bluff", yaani unaelezea kitu unachokijua na hakiwezi kugingwa halafu unauliza ambacho hujui, kisaikolojia yeye atakuwa anajua mimi najua kila kitu hivyo hawezi kudanganya maana akidanganya anaharibu kumbe mimi nimemdukua wiki mbili tu sijui vilivyotokea kabla ya kudukua, hapa nikamuambia sitaki kuelezea vitu ulivyofanya wewe, nataka useme wewe mwenyewe kwa mdomo wako na useme kilakitu hata vile unavyoona sio vya muhimu mimi nimevizingatia.

kabla hajanza nikamuambia, huyo fala nilimtumia sms siku tatu zimepita, nikamuonyesha sms "achana ma wake za watu, nimeshajua moves zako zote" wife akachoka, nikamuambia eleza kila kitu nataka nione kama utamlinda huyu fala wakati yeye hakutaka kukulinda, angekuambia tu kuwa najua kilakitu tusingekuwa na hiki kikao, yeye hakujali kuhusu wewe, yeye anajali atombe basi.

kabla hujaelezea kilakitu, lete simu akaleta, utajielezea ukiwa umeshaachana na huyo fala ila hautamuambia muachane, nikapiga ile namba ya huyo fala nikampa wife karatasi amuulize yule fala swali niloliandika kwenye karatasi na nikamuambia wife ukishauliza hili swali unaweza ukakata simu maana jibu lake ninalo ntakupa ishara ya kukata simu, simu ikaita anapokea nikampa kikaratasi "Mume wangu alikutumia sms uachane na wake za watu, ameshajua kila kitu na anafuatilia moves zako zote, sasa kwa nini hukuniambia mimi ambae nilikiwa sijui chochote, ulikuwa unanitakia nini? au ulikiwa unaitakia nini ndoa yangu?" yule fala alikata tu simu.

Haya eleza kilakitu na usiruke jambo.. hilo swali lilikuwa sio kwaajili ya kujibiwa lilikuwa ni kwaajili ya kukufanya uwe na akili, zamu yako kuanza kuongea eleza kila kitu... wife hakuwa na namna kila kitu alieleza hakujua kama nilikuwa namfanyia controlled reveal,
niliamua kuendelea kuishi na mke wangu sababu tu yule jamaaa alikuwa hajapiga, ila sijamsamehe labda muda miaka ikipita ntamsamehe

Sasa nashangaa nyie mnaopigiwa mnawezaje kuvumilia, mimi ningeandika uzi sema tu ni mvivu kuandika, mpaka leo wife anajua naweza nikafuatilia zaidi ya CIA na nikijua tu amechepuka tunaachana,

Sio kwamba siwezi kupigiwa, naweza kupigiwa vizuri tu ila sipigiwi kifala, mimi kupigiwa ni mpaka wife atumie falsafa moja ya kigaidi ambayo magaidi wakubwa wote waliitumia inasema "If you live in past the future will never find you" yaani mimi kupigiwa labda wife aishi zama za mawe asitumie kabisa tech,

pia mjifunze intelligence, mwanaume ukioa inatakiwa kwanza uive kama jasusi la KGB kipindi cha vita baridi.
 
pole sana
 
Mkuu mkita sio mwanamke wa kuoa.. shujuru Mungu bado hajakuoa nammi nipp hap la Makoko musomaa.. nimeshaaxhana na wife wabkijita kwa scenario kama zako watoto wapo kwa bi mkubwa wangu moro
Hawa watu sio tofauti tu na huyu wangu naona asilimia kubwa ya walioolewa hawana msimamo wa kimapenzi,hawajui kukataa
 
Mchunguze kwa umakini kama ni MJITA siku mbili nyingi utakuja hapa kutoa ushuhuda
 
... 'Kumuacha siyo tatizo sana, nawafikiria watoto wangu tu'...
Wee jamaa vipi?
Je akifa leo, itakuwaje kuhusu hao watoto?
 
Mbona hizo Mbona hizo tabia zipo makabila yote mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…