Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

wewe ni zuzu, kama vipi hao wanaume wakukule na wewe
 
Nawajua vizuri hao watu.
Mkuu, tofauti yao ni nini?? mie nawaona kama ni wamoja tu kwa kila kitu. Huyo dada wa kikerewe ilikua ukimuona utasema ni mnyarwanda nyuma alikua na msambwanda wa haja, na usoni mash'Allah tatizo umalaya hadi akaachana na huyo mumewe waziri wa serikali ya mzee wa Lupaso. Na mie nikasepa mamtoni.
 
Nianze leo kuchunguza ? hilo lishafanyika muda.
Mm wangu huwezi kumdhania,pengine sijajua unatumia mbinu zipi ila mwanamke Malaya ana ,mbinu nyingi sana,anaweza hata kukuachia simu zake zote na usione chochote ila nje anatoka vizuri chief.

Nikupe mfano mmoja Kuna mama mmoja anaishi umbali wa meta kama 500 toka nilipo,huyu anaaminika mno kuanzia kwa mme,ndugu zake na hata Mimi nilikuwa namuamini.Mmewe ni fundi wa board hivyo mara kwa mara husafiri.Kuna siku nimemfuma red handed anatoka na dume moja rasta lodge fulani kama unapafahamu "embassy kwa shangazi" nasikia ishavunjwa.Nimeingia mle kufuata pesa zangu kwa watu ninaowakopesha mzigo.Huwezi kuamini mpaka sasa ninaishi nalo moyoni na jamii inayotuzunguka humchukulia huyu mama kama mtu wa maadili sana!
 
Chief kiukweli sikupewa ABC kilichonipatia matumaini kwanza ni mtu wa church sana,muimba kwaya,nk hilo lilikuwa kosa kubwa sana kwangu
Hawa wanaojifanya ni watu wa church wengine wanaficha mambo yao mabaya. Na wana kwaya wengi ni wahuni. Ila wewe ni mpole sana. Unagongewa na wewe unakaa kimya?
 
Kama wanawake wanaotoka Meru tu, wanakisambaza kibwimbwi kama Panya Magawa
 
Kwa umri wako mkuu wewe ni kama baba kwangu ila hii point naitumia maishani mwangu yani ukiona m.ke kwao baba hana kauli mbele ya mama usijiingize hapo sasa ww jifanye ndo umempenda utakomaaa ukomae
 
Kwa umri wako mkuu wewe ni kama baba kwangu ila hii point naitumia maishani mwangu yani ukiona m.ke kwao baba hana kauli mbele ya mama usijiingize hapo sasa ww jifanye ndo umempenda utakomaaa ukomae
Haswaa
 
Kabla hujamuoa alikuwa barmaid au malaya wanaojiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…