Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
DaahPole
Nimescreenshot mkuu ila nawasiwzsi Hawa 1win sijui kama wamejisajili tanzaniaScreenshot mapema uende Bodi ya Michezo ya kubahatisha
Sawa mkuuJiamini babu nenda kawashtaki
screenshot hiyo page uitupie hapa! usije kuwa unatupangaNaombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
Mkuu hii kampuni nadhani haijasajiliwq hapa tanzania ni 1winMil 8 mbona hela ndogo sana kwamba kampun ikufanyie janja janja
🤣🤣🤣Mkuu hii kampuni nadhani haijasajiliwq hapa tanzania ni 1win
Njia uliyotumia kudeposit ndo itumie kutoa. Ikiwa njia hiyo inasumbua deposit kwa njia nyingine iliyorahis kuwithdraw kisha betia hiyo hela yote uliyodeposit kwa mara ya pili then vuta mpunga kwa njia hiyo ya piliNaombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
Wewe pia unatuma hii kampuni mkuu ya 1 winNjia uliyotumia kudeposit ndo itumie kutoa. Ikiwa njia hiyo inasumbua deposit kwa njia nyingine iliyorahis kuwithdraw kisha betia hiyo hela yote uliyodeposit kwa mara ya pili then vuta mpunga kwa njia hiyo ya pili
Daah aisee acha tu mkuu vipi huyo ni mtanzaniaBila shaka hiyo kampuni ina vinasaba na mrusi. Na mwingine alilia hapa.View attachment 3352223
Hapana situmii ila nshatumia kampuni za mrusi zinazofanana na huyoWewe pia unatuma hii kampuni mkuu ya 1 win
Daah sawa mkuuHapana situmii ila nshatumia kampuni za mrusi zinazofanana na huyo
22bet, helabet, 888starz na 1xbet