Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
Hela bet nilijua ya kibongoHapana situmii ila nshatumia kampuni za mrusi zinazofanana na huyo
22bet, helabet, 888starz na 1xbet
Hela bet nilijua ya kibongoHapana situmii ila nshatumia kampuni za mrusi zinazofanana na huyo
22bet, helabet, 888starz na 1xbet
Hawashtakiki hawa, huwa wanachukua leseni Curaçao kwa ajili ya kuoperate kimataifa halafu kwetu wanakuwa wapo kama hawapo ni njia za panya mwanzo mwisho hawajasajiliwa. Ukizulumiwa ndio imeisha hiyo, hawatambuliki na mamlaka.Kama wamegoma kutoa chako, kawashtaki kwenye mamlaka husika..
Sasa unabeti vipi kwenye kampuni ambayo haijasajiliwa TZ mkuu ? Lakini wana website ya .co.tz ... TCRA wanaweza kukusaidia hii domain office yake ya TZ iko wapi 😂Nimescreenshot mkuu ila nawasiwzsi Hawa 1win sijui kama wamejisajili tanzania
Umevaaje?Mkuu ukipataa iyo elaa leo njoo apa Kitambaa cheupe upande wa kulia karibu na Dj.
Sasa unabeti vipi kwenye kampuni ambayo haijasajiliwa TZ mkuu ? Lakini wana website ya .co.tz ... TCRA wanaweza kukusaidia hii domain office yake ya TZ iko wapi 😂
Makanjanja 😂😂View attachment 3352360
View attachment 3352361
Nina wasiwasi na domain zao out ziko correct ukifungua zinakuja hivi. 😂View attachment 3352362
Your genius mzeee khaaNjia uliyotumia kudeposit ndo itumie kutoa. Ikiwa njia hiyo inasumbua deposit kwa njia nyingine iliyorahis kuwithdraw kisha betia hiyo hela yote uliyodeposit kwa mara ya pili then vuta mpunga kwa njia hiyo ya pili
Hahahah, nakuchek tu 😂😂😂😂Mkuu ukipataa iyo elaa leo njoo apa Kitambaa cheupe upande wa kulia karibu na Dj.
Mkuu vp ulifanikiwa?Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee