Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
Njia uliyotumia kudeposit ndo itumie kutoa. Ikiwa njia hiyo inasumbua deposit kwa njia nyingine iliyorahis kuwithdraw kisha betia hiyo hela yote uliyodeposit kwa mara ya pili then vuta mpunga kwa njia hiyo ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…