Lucky93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 802
- 1,658
Siku 10 Laki mbili inamaana kwa siku elfu 20 tu. Sihami mbeyaLaki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap[emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku 10 Laki mbili inamaana kwa siku elfu 20 tu. Sihami mbeyaLaki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap[emoji17]
Laki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap
acha kumkweza, huyo hawezi kuwa wa kishua, ni wa kutoka familia ya kawada tu.Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wakenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu.
Ila sasa huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna muda anakuja na mabesti zake watatu!
Kwa hiyo mwaisa laki mbili ukamua kuja Jf kumsimanga mtoto wa watu siyo..Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wakenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu.
Ila sasa huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna muda anakuja na mabesti zake watatu!
🤣🤣🤣AiseeSiku 10 Laki mbili inamaana kwa siku elfu 20 tu. Sihami mbeya
🤣🤣🤣🤣Alikuwa mwakaleli Kwa mpunaNyoko eti siku 10 umetumia 200k hotel,kula,kunywa halafu sometime mnakua wa5...mkuu hapo sio mbeya wewe ulikua MPUGUSO
Umekulia familia duni, umeajiriwa vihela vinakutia uchizi na kuwa mshamba wa wanawake wa mjini kiasi hicho. Kijijini wazee wanavaa kandambili we' unavimba town! Siyo level yako, kifupi humuwezi huyo, waachie akina Kiduku lilo utachanika msamba shauri yakoNipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest. Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wakenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu.
Ila sasa huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna muda anakuja na mabesti zake watatu!
Jamaa lishmba kweli yaaniKishua hawatangazaji njaa sema umempata muigizaji anaishi uswazi na wanajua kudeka ukiwa endekeza wanakunyosha kisawasawa.
Tena huyo mwanafunzi wa chuo kazi unayo, ila ukiwa una mentally ya kihuni plus ukauzu unaweza piga yeye na marafiki zake sababu tu ya tamaa zao za fedha mabinti wa chuo wengi hawanaga mishipa ya aibu.
Laki 2 ndogo? Acha kuvimba! Hiyo 500k ya ualimu inakutia kiwewe! Ongea hayo kama unajijua unapokea 2M+Laki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap[emoji17]
Halafu kijijini kwako wazee wanashindia uji kisamvu.Sasa ndugu 20k nayo ni ya kulia?
Hiyo ni bei ya wine ya kawaida tu...saint Anna au Robertson tu kabla hata mtoti hajala makange
Mkuu unawajulia sana hawa wa namna hii eeh?Wakishua akikuelewa mnakula na za kwake,huyo ni vitoto vya tandika /buguruni sheli na ukiwaletea Mambo ya kulamba lips zako wakti unaongea nae utaudumia mpaka mama yake nyumbani.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Jamaa BWEGE kweli hili. Hata akiwa mrembo kama malaika ni mwiko kuonesha ume appreciateacha kumkweza, huyo hawezi kuwa wa kishua, ni wa kutoka familia ya kawada tu.
amekuona wewe boya umedata kwa uzuri wake, acha akupukutishe.
Mbona unalewa na marafiki zako na wazazi wako wanalala njaa?Halafu kijijini kwako wazee wanashindia uji kisamvu.
Nina hakika amempeleka vile vila lodg evya mfikemo ambako nao watu wa mbeya wanaita hotelLaki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap😔
Piga wote kuna faida pia binti akija na wenzieNipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wakenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka kwa kuchovya mara moja, binti kaninogea acheni tu.
Ila sasa huyu binti ni siku ya 10 hii nimegharamika takribani laki 2 kumpeleka hotelini na kuna siku alikuja na mabesti zake watatu
Uzuri tu ni kwamba hanywi pombe na kula yake ni ya kistaarabu sio ya kufakamia na haleti marafiki zake ovyo
Laki 2 unalalamika, unaniangusha aisee...tena kwa siku 10 means on average ni 20k per day.Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.