Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

Aki
Still bado kapuku mwenzio tu. Kwenda abroad hasa America ya kusini hata kaskazini haiondoi ukapuku
Akili zako finyu,kwenda Amerika kusini gharama yake ni mara 3 ukifananisha na kwenda nchi za ulaya kutokea.unaweza unga safar sana
 
Nimewahi kuhonga 600k kwa binti wa chuo wa Mabibo Hostel kwa wiki tatu tu, na hata sikuwahi chakata mbususu yake
 
Nyoko eti siku 10 umetumia 200k hotel,kula,kunywa halafu sometime mnakua wa5...mkuu hapo sio mbeya wewe ulikua MPUGUSO
Hahaha mpuguso ya wapi mkuu...🤣🤣🤣
 
Kweli huko hotel bei rahisi siku kumi ila imepasuka laki mbili tu ina maana chumba ni 10k plus chakula 10k
 
Laki mbili? Au million 2? Kweli Mbeya tuna hotel very cheap😔
Umewaza Kama Mimi. Nakumbuka Kuna kenge niliipa offer ya dinner ikaja na marafiki wawili, sisi tulikuwa wawili sehemu inaitwa bonasera Mwanza asee ile bill ilikuwa ya moto siwezi kuiweka hapa nitachekwa na dunia nzima.
 
Afu kwann wanakuja na marafiki🤦
 
Hiyo laki mbili ukigawanya Kwa kumi unapata elfu ishirini Kwa siku!
Mnaenda hoteli gani hata mfiemo,haitoshi!
Acha kutufanya mazoba kutumia 20k ukiwa na mwanamke Kwa siku ni hesabu ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna wanaume mnapenda kujipa tabu kama mtu anakuletea mapicha picha si utemane nae kwa nini kujitesa?? Mtanyonywa hadi damu + kutafunwa mifupa msipobadilika.
 
Umewaza Kama Mimi. Nakumbuka Kuna kenge niliipa offer ya dinner ikaja na marafiki wawili, sisi tulikuwa wawili sehemu inaitwa bonasera Mwanza asee ile bill ilikuwa ya moto siwezi kuiweka hapa nitachekwa na dunia nzima.
Sasa mkuu mbona huku jiamini? Wewe umempa offer mwanamke mmoja yeye kaja na wenzake we wenzake ungeachana nao tu we ungelipa bill ya watu wawili
 
Back
Top Bottom