Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

acha kumkweza, huyo hawezi kuwa wa kishua, ni wa kutoka familia ya kawada tu.

amekuona wewe boya umedata kwa uzuri wake, acha akupukutishe.
 
Kwa hiyo mwaisa laki mbili ukamua kuja Jf kumsimanga mtoto wa watu siyo..
Achana na mapenz tu fanya kilichokupeleka
 
Umekulia familia duni, umeajiriwa vihela vinakutia uchizi na kuwa mshamba wa wanawake wa mjini kiasi hicho. Kijijini wazee wanavaa kandambili we' unavimba town! Siyo level yako, kifupi humuwezi huyo, waachie akina Kiduku lilo utachanika msamba shauri yako
 
Jamaa lishmba kweli yaani
 
acha kumkweza, huyo hawezi kuwa wa kishua, ni wa kutoka familia ya kawada tu.

amekuona wewe boya umedata kwa uzuri wake, acha akupukutishe.
Jamaa BWEGE kweli hili. Hata akiwa mrembo kama malaika ni mwiko kuonesha ume appreciate
 
Laki mbili ?? Au ulikuwa wamaanisha kwa siku au ndo jumla hyo .
Acha kuangusha game janaume ww , anakujaje na mabeshte na hufanyi kitu .
Wanikumbusha pisi Moja matata ,ayra kalame enzi nikiwa chuo ,chombo nlikitafuna yy na group nzima ya madem 5 ndani ya mwezi bila buguza,nlichambua mbuga wakija kujua tarimbo ilikuwa ishasafisha group nzima .
Unaonea huruma mzigo ,piga tunda sawasawa , Kisha oya mambo ya laki mbili siku kumi JF usituletee Mzee .
 
Piga wote kuna faida pia binti akija na wenzie
 
Laki 2 unalalamika, unaniangusha aisee...tena kwa siku 10 means on average ni 20k per day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…