Nimeyakanyaga kwa mtoto wa kishua, napasuka kibunda kujifanya ninazo

Mkuu unatuzalilisha, ani kutumia laki mbili tu kwa siku 10 ndo unakuja hapa kulia lia kuwa umegharamika sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa mkuu mbona huku jiamini? Wewe umempa offer mwanamke mmoja yeye kaja na wenzake we wenzake ungeachana nao tu we ungelipa bill ya watu wawili
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah kiukweli ujasiri huo sikuwa nao boss, na sidhani Kama naweza kuwa nao kirahisi. Ila niliamua kumpiga chini mazima coz ndo ilikuwa hatua za mwanzomwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…