Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Ukimwi ungekuwa unaambukizwa kwa majimaji basi wanzinzi wote NI positive , mchakato WA kuambukizana ukimwi ipo hivi
1.kupitia kunyonyana Denda , Hii NI njia rahis Sana ya kuyakanyaga maana kwenye kunyonya mate unaweza ukanyonya na damu ukaimeza nafikiri wengi huwa wanapata ukimwi kupitia Hii njia

Zingine ni
2.kunyonya kisimi
3. Kunyonya mboo Yenye michubuko
4.Wakati WA kusex na hapa kama wote mtakuwa na michubuko ni rahis kupata

Wale msiopenda kinga na kupima Hakikisha K ina Ute WA kutosha, pia k ya kubana sio nzuri NI rahis kupata maambukiz , pendelea k ambazo hupati shida kuingiza [emoji533], epuka Sana Denda, maana unaweza tumia condom lakini ukaupatia kwenye Denda
Kingine usipende kurudia game et round 5 usiku mmoja , round moja au mbili inatosha pita hiv , round zingine **** inakuwa kavu au inawahi kukauka ni rahis kumchubua mwenzio ,
 
Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige
Uwe na amani budda.

Hawa akinamama wengi wao wanakula dawa tayari maana wanapimwa kule klinik zao za mambo ya uzazi.

sema hawezi kukwambia kama ana iyo shida maana anajua kifatacho itv.

ila sasa nawew daah

unakula stereo mtu hujamjua vizuri¿
 
Nakushauri nenda kapime Kwanza,,unaweza ikawa upo negative.

Mimi niliwahi kusex na wanawake tofauti 3 kwa kipindi tofauti na wote walikuwa HIV POSITIVE,,


mwisho wa mchezo nipo Salama hadi sasa.

Alhamdulillah.

-Angalizo

Epuka matumizi ya mkongo,

Kuepuka michubuko wakati wa tendo
 
Kwa nn hukutumia kondomu au ndio ulizimeza?

unajua nye.ge ua hazina adabu. zikitamalaki maungoni mja hufikwa mambo haya apa;

- mwili mzima kuzungukwa na makopakopa na malovebite💞🥰.

- kujihisi unabebishwabebishwa kila upande kusini na kaskazi.

- akili zote za kichwa cha juu kuhamia kichwa cha chini haraka sana👇

- kujihisi kama unataka kumkabidhi bibie kadi ya ATM au hata mshahara wote.

- Ukishtuka na kukaa sawa unagundua kumbe mnatafuta bao la 3 na bibie na wkt wote uo KUMBE mlikuwa mwendo wa nyama kwa nyama!!🤯🤯

- unashtuka ebhoo😳 akili zinarudi haraka kichwa cha juu.

- mara unaskia kale kawimbo maarufu kakijiimbisha kenyewe kichwani mwako "niagieni niagieni"😭😭
 
Pole sana mkuu, ila niambie hio picha umepigia simu gani?
 
Nshakunywa hizo PEP kama mara 3, yaani nimetembe na mademu kama wewe kuja kuwapima Wana ngoma sema ilikuwa within 72hrs watatu wote
 
Asanteni nyote kwa kuendelea kunipa moyo na kunitia nguvu katika kipindi hiki kigumu kwangu.

Wale mnaoweka comment za utani na kukatisha tamaa zaidi pia asanteni sana, yote kheri.

Ndio nimeianza wiki ya 2 nikiwa kwenye PEP. Kiukweli hizi dawa zinatesa sana, usipokuwa mvumilivu unaishia njiani.
 
PEP za sasa ni TLD hazina shida yoyote hazisumbui kabisa nilitumia mwezi March au wewe wamekupa ipi?.

Niliwahi pitia hali kama yako 2018 sitasahau nilikonda ndani ya wiki 2 sikia kwa mwenzio aise.
 
Pole sana hivyo dose ya PPE Ukinywa unajikuta kama una elea hewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…