Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.
Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.
Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!
Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.
Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..
Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.
Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.
Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.
Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Yan wewe hufai kukaa na mgonjwa unaweza kumuua 😂😂😂
Safari yetu ni moja ,mleta uzi aelewe hilo.🤣Yan wewe hufai kukaa na mgonjwa unaweza kumuua 😂😂😂
We si uliambiwa kuhusu malaria ya nn umtishe mwenziomsimuumize moyo, hivyo vipimo kuna baadhi ya mikoa hapahapa mfano Dodoma, kuna doctor mmoja alinambia vinadanganya. ila kama mwanamke alijua, basi, kama utelezi ulikuwepo wa kutosha, kuna uwezekano mdogo sana ukasavaivu. kuna mwezi nilienda Dodoma kikazi, nikapigwa na malaria kali kwelikweli,nikaenda kupima, nikaambiwa hakuna malaria wala nini. nikawa naendelea na shughuli morogoro, nikapima nikaonekana nina malaria kali. nikamwuliza kwanini Dodoma nimepima juzi ilikuwa hakuna malaria, akanambia kuwa hali ya hewa ya Dodoma wakati mwingine malaria huwa hazionekani. kuna uwezekano hata kwenye hiv test ya aina hiyo ikaonyesha negative kama ilivyo kwako, kumbe unavyo. sijui kama nilidanganywa na huyo doctor ama la.
Mgonjwa atakufa kabla ya kumaliza dose 😂😂😂Safari yetu ni moja ,mleta uzi aelewe hilo.🤣
Shukurani kwa ku-share nasi na pole kwa unayopitia.
Huyo mwanamke ni evil.. na muuaji.. Nchi zingine sasa hivi angeshtakiwa kama ungeyasema kwa mamlaka..
Hii sidhani kama ina ukweli wowote, vipimo vidanganye kwasababu ya hali ya hewa??msimuumize moyo, hivyo vipimo kuna baadhi ya mikoa hapahapa mfano Dodoma, kuna doctor mmoja alinambia vinadanganya. ila kama mwanamke alijua, basi, kama utelezi ulikuwepo wa kutosha, kuna uwezekano mdogo sana ukasavaivu. kuna mwezi nilienda Dodoma kikazi, nikapigwa na malaria kali kwelikweli,nikaenda kupima, nikaambiwa hakuna malaria wala nini. nikawa naendelea na shughuli morogoro, nikapima nikaonekana nina malaria kali. nikamwuliza kwanini Dodoma nimepima juzi ilikuwa hakuna malaria, akanambia kuwa hali ya hewa ya Dodoma wakati mwingine malaria huwa hazionekani. kuna uwezekano hata kwenye hiv test ya aina hiyo ikaonyesha negative kama ilivyo kwako, kumbe unavyo. sijui kama nilidanganywa na huyo doctor ama la.
Sio maigizo mimi nimekutana nakesi kama hizi nying katika majukumu ya kazi yangu,wanawake wengi ni makatili hawasemi ukweli
Watu hawataki kufa peke yao. Siku hizi ngono imekuwa rahisi sana na watu hawapendi kutumia kinga kbsaShukurani kwa ku-share nasi na pole kwa unayopitia.
Huyo mwanamke ni evil.. na muuaji.. Nchi zingine sasa hivi angeshtakiwa kama ungeyasema kwa mamlaka..
Bora zifichwe TUKuna dawa zinaitwa Prep yaan hizo unameza halafu unadunda kwa mwezi mzima kavukavu na hupati maambukizi. Kwa sasa hizi dawa serikali inatoa kwa wauguzi (madaktari/manesi), wasaganaji na mashoga only.
🤣🤣🤣Jamani kwani tayari?Pole sana..
Fanya Ibada...
Kula vizuri..
Fanya mazoezi..
Punguza mawazo...
atakuwa kakuelewa muhasibuNext time utushirikishe kabla ya kupiga miti. Kwa sasa inaweza kuwa too late
Kama uliiandaa vyema Mbunye yake na ikawa na Ute Ute mwingi, hakuwa katoka kumaliza Period yake si chache zilizopita, hakuwa na Mchubuko na Wewe Bolo lako limeshaanza kugusagusa Maji ya Mbunyeni Kwake, huna Mchubuko wowote na ulikuwa Ukiuchomeka Ukuni wako very gently and sexy niamini 100% GENTAMYCINE kuwa hajakuambukiza / hujaambukizwa Virusi vya Gitaa la Solo la Dally Kimoko ( HIV )
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.
Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.
Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!
Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.
Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..
Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.
Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.
Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.
Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Usisahau kutoa mrejesho