Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.

Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.

Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!

Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.

Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..

Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.

Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.

Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
vip tako analo? au umeadhilikia mifupani
 
Uliachaje kumshushia kupigo cha mmbwa nwitu, huyo sio mtu mzr kbs
 
Siruki hovyo ila moja ya gonjwa siliogopi ni HIV.. yani siliwaziii kabisaa..

Najilinda Afya yangu kwasababu nimeshajijengea utaratbu huo wakuwa makini na afya yangu lakini sio kwamba najilinda kisa naogopa HIV.

incase it happens,nadunda nayo nafata mautaratbu yao basi life goes on but siliogopi.
 
nje ya mada

starehe ni ya feruzi amemshirikisha prof j
Saa saba juu ya alama/
Saa nikiitazama/
Nimeshaachana na Jaki sasa namfuata salama/

Saa kumi na mbili/
Nina appointment na mademu wawili/
Achana na lili/
Ambaye tutakutana saa mbili/

Mleta mada punguza presha kama umeanza PreP mapema mambo yatakuwa mazuri, na pia kama bidada yuko kwa dozi kwa usahihi bado uko safe
 
Tumieni Kinga ,mambo si shwari uku,Kuna siku nilipima na bidada kipimo kikasema + akaenda hospital kipimo kipo - Sasa sielewi hapo shida ni vipimo vinadanganya au nn,
 
Aseee huu Uzi unafanana na wa jamaa Fulani aliyetongoza demu udsm alikua anasoma masters anavyodai nae story ikawa hivo hivo akipita na manzi kumbe amewaka kama wewe yaonesha hizi story ni imagination
 
View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.

Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.

Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!

Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.

Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..

Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.

Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.

Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Usiwe na wasi
 
Kama uliinjoyi hamna noma mkuu. Bahati mbaya ukutane na mwenye maziwa kama chapati,af kama yamenyonyesha magaidi,kule Lumambo ndo ukute hamna kitu,af ndo ukute mistari 2 hiyo! Bora ujinyonge. Ila kama yuko,vizuri,dunda nae mwanzo mwisho
 
Upate ukimwi utakufa na usipopata ukimwi utakufa.

Furahia maisha haya maana muda ni mfupi mno.

Aliyeogopa kupanda gari akihofia ajari basi alikufa kwa kutekeza chooni.

Acheni uoga, piga Tena hiyo mashine mpaka ikuite mume
 
Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.
Haya mawili ndiyo ya Muhimu sana, mengine kutishana tu na kiuhalisia HIV siyo death certificate ni basi tu mapokeo yetu Africa yalikuwa ya kutishana tishana tu!
 
Back
Top Bottom