Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Nyege ni kitu ajabu sana
Me nlipiga dem ambae NNAJUA! Wazi ni muathilika
Ila nlitumia ndOm
Sikumbuk wazi nlipat wap ujasili ila nlikumbuka baada ya kumaliza

By the way tumia hizo dawa siku zote 30
Me nshatumia
Japo zina mawenge sana ila tumia
 
msimuumize moyo, hivyo vipimo kuna baadhi ya mikoa hapahapa mfano Dodoma, kuna doctor mmoja alinambia vinadanganya. ila kama mwanamke alijua, basi, kama utelezi ulikuwepo wa kutosha, kuna uwezekano mdogo sana ukasavaivu. kuna mwezi nilienda Dodoma kikazi, nikapigwa na malaria kali kwelikweli,nikaenda kupima, nikaambiwa hakuna malaria wala nini. nikawa naendelea na shughuli morogoro, nikapima nikaonekana nina malaria kali. nikamwuliza kwanini Dodoma nimepima juzi ilikuwa hakuna malaria, akanambia kuwa hali ya hewa ya Dodoma wakati mwingine malaria huwa hazionekani. kuna uwezekano hata kwenye hiv test ya aina hiyo ikaonyesha negative kama ilivyo kwako, kumbe unavyo. sijui kama nilidanganywa na huyo doctor ama la.
Acha kudanganya watu,vipimo viache kudanganya dunia nzima vije kudanganya Dodoma,kama ni kweli huyo Doctor wako atakuwa hajitambui..
 
View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.

Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.

Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!

Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.

Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..

Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.

Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.


Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Pole sana na hongera kwa ujasiri wako .
Ila nimecheka sana unaposema zinakuendesha kama nakuona unavojambajamba kila muda

Unavyohisi kuharisha kila mara na ukienda unaishia kutoa mijambo tu

Kama nakuona tumbo linavyokuunguruma

Kama nakuona unavyopagawa kichwa si kichwa mara mdomo mchungu usijali wewe ni shujaa , hongera sana kwakutambua uwepo wa PEP .

Siku nyingine kinga ni bora kuliko kutumia haya madude jifunze kupima kabla , jifunze kutumia kondom UKIMWI UPO ndugu zanguni.
 
Back
Top Bottom