Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aanike nini bingwa? Wewe unaparamia mwanamke na kulala naye bila kinga halafu unategemea nini? Hata mimi ningekuwa mwanamke ukinitongoza sikuambii ng'o. Sheria za mchezo unazijua na siyo jambo jipya hata. BTW siamini sana hii habari kama ni kweli.Unatakiwa huyo mwanamke umuanike,ni muuzaji kabisa!!
Kumficha ficha hujui ataambukiza wangapi,atapelekea yatima wangapi!!
Unatakiwa umuanike kwa namba zake na ikibidi na picha zake,ni muuzaji!!
Kama mtu anaekutwa na nyama vipande vya swala 12 kafungwa miaka 20+ je huyo muuzaji wa makusudi unamufichia nini?!!
nje ya madaTukuweke wimbo gani wa kusindikiza Uzi ndugu mleta mada, Starehe ya Prof J ft. Feruzi au Nimo ya Magwair?
Au ngoja DJ nikuwekee Msinitenge ya Prof J ft. Q Chief tusindikize Uzi
Wacha nikampime shemej yako keshoView attachment 2809810
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.
Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.
Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!
Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.
Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..
Lengo la kulileta hapa ni ili wana jf wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.
Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.
Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.
Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Sio maigizo mimi nimekutana nakesi kama hizi nying katika majukumu ya kazi yangu,wanawake wengi ni makatili hawasemi ukwelihehw maigizo ila fundisho zuri
madakitari na manesi wa inchi gani ??Kuna dawa zinaitwa Prep yaan hizo unameza halafu unadunda kwa mwezi mzima kavukavu na hupati maambukizi. Kwa sasa hizi dawa serikali inatoa kwa wauguzi (madaktari/manesi), wasaganaji na mashoga only.
Kabisa...Hii kitu ni hatari sana,tuache zinaa,majuto ni mengi sana kuliko faida...
Vice versa is true yes ni hivyo hivyonje ya mada
starehe ni ya feruzi amemshirikisha prof j
Naaaani kakudanganya?Mwanaume aliyeyahiliwa huwa hapati ukimwi
Ulimpima afya huyo mwanamke kwa kumuangalia tu.Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.