Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

1.Mm nmeshawahi kua na mwanamke mwenye ngwengwe nlisex nae Mara zaidi ya 3 bila kujua baadae ndo nkaja jua amewaka nkasepa. 2.

Mwingine nlikua najua kabsa ni mgonjwa kisa tumelewa nikamtimba pombe zilipoisha ndo akili ikarudi sikurudia tena. By the way mpaka sasa nko salama kabsa.
 
View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia...
Penzi la kwanza !!?? .... SEMA jipya .... Tupo wengi Mzee mwenzangu tuliojifunza Kwa njia ndefu na ngumu..... Utakuwa fresh tu dingi...
 
1.Mm nmeshawahi kua na mwanamke mwenye ngwengwe nlisex nae Mara zaidi ya 3 bila kujua baadae ndo nkaja jua amewaka nkasepa. 2.Mwingine nlikua najua kabsa ni mgonjwa kisa tumelewa nikamtimba pombe zilipoisha ndo akili ikarudi sikurudia tena. By the way mpaka sasa nko salama kabsa.
Ukimwi haupewi Kwa dispatch kwamba huyo anao ukisaini tu unao.... Ila hata kama tumekwepa mishale mingi tukumbuke Kinga ....
 
Kama umeanza kutafuna PEP umepona, nasikia za siku hizi hazina maluweluwe sijui ni kweli. Nimeshawahi kuzitafuna mara 2 na zilileta ufanisi kwa 100%.

Wakati namalizia za awamu ya 2 nimebakiza kama siku 6 nikajikata kwenye mlango wa daladala ambao nina uhakika umekata wengi nikasema potelea mbali.
 
View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.

Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.

Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!

Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.

Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..

Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.

Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.

Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Kuna kipindi cha nyuma kidogo niliaribu dar ikabidi nijirudie home iringa aise maisha yakawa magumu na mzunguko Wa hela mdogo ukichangia niliondoka miaka mingi so sielewi hata pakuanzia ni kama sio home vile kila mtu mgeni vitoto nilivyo viacha ndio wamekuwa masela Wa mtaa

Aise nikajikuta naibukia kwenye ulevi Wa pombe tena matap tap ni mwendo Wa ulanzi komoni mixer msabe nikawa mlevi mbwaa

Nikaanza kujibebea mademu Wa vilabuni tu yaani gono ilikuwa kawaida tu nikakumbana na baba lao PANGUSA kidogo ipanguse uume kweli

Yaani demu unajua anatumia na dose ila ukishalewa unachapa tu majuto kesho ila sikomi nikawa nimejikatia tamaa kabisa ya maisha

Baada kama ya miaka miwili ya kujichakaza nikatafakari nikazingatia moyoni niache pombe nikapime nianze dose tu

Enzi hizo tunapima kwenye vituo vya UMATI sijui kama bado vipo

Basi majibu yakaja sina wacha nimmaindi nesi namwambia acha kunionea Huruma niambie ukweli nianze dose mapema aise ikabidi arudie tena ila majibu yakaja Yale Yale sina

Aisee nilipotoka pale breki ya kwanza kanisani kuokoka nashukuru mwaka Wa 15 sasa nipo na Yesu tu

Watu nikiwaambia nilikuwa nakunywa na kuvuta Hamna anaye amini wanasema sifananii na mambo hayo hahahaaaaa nabaki kujifurahia mwenyewe tu

All in all kuwa na amani hautadhurika na hilo litapita na itabaki story tu
 
View attachment 2809810

Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia.

Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki afya zetu hasa HIV kabla hatujafanya chochote. Ila kama mjuavyo penzi la kwanza huwa na nguvu sana, ile tunaingia tuu ndani tumekumbatiana ndo hatukuachiana mpaka kila mmoja alipofika kileleni.

Tumeenda round 2, kisha tukala chakula. Kabla hatujaenda ya 3 ndipo tukakumbuka kupimana. Asalaleeeh!!! Majibu kutoka mwenzangu amewaka, tena amewaka kwelikweli maana hiyo line ya test ilivyo bold siyo mchezo!!!

Kwa kumuangalia mapokeo ya majibu yake ni alikuwa anajua, she knew her status for sure maana chapchap alini-beg nisimpige. Hakujua mimi nina roho ngumu kama paka.

Palepale niliondoka na kwenda hospitali, nikaelezea situation nzima na wakanipa PEP ambazo ndizo napambana nazo mpaka sasa, japo zinazingua kwelikweli lakini hamna namna..

Lengo la kulileta hapa ni ili wana JF wenzangu mjifinze kupitia mimi. Funzo kubwa hapa ni usimuamini yeyote, kabla hamjavuana nguo ni vizuri mkapima kabla, au ikishindikana tumieni njia za ngono salama ili msije mkapitia ninayoyapitia mimi, maana si jambo rahisi.

Funzo la pili mtakalolipata ni matumizi ya PEP kama yanasaidia ama laah. Kwa research zilivyo, PEP zina 80% ya kuzuia maambukizi endapo zinatumiwa inavyopaswa, 20% haziwasaidii na wanapata maambukizi.

Hivyo baada ya kumaliza PEP, itabidi nikae siku 28 ndipo nije nipime. Endapo, nitakuwa NEGATIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la 80%, nikiwa POSITIVE basi nitakuwa nimeangukia kwenye group la wale 20%.

Tukutane hapahapa kwenye Next Episode baada ya kumaliza PEP na kupima.
Doooh! Pole sana,pole sana...Utafanikiwa kuwa kwenye 80%
 
Back
Top Bottom