Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

Status
Not open for further replies.
Wagonjwa wa magonjwa ya Moyo na akili ndo wanaongezeka hivyo......

Hypertension, Schizophrenia, Depression, Angina nk 😒😒😒😒
what do you mean
Sina wasi wasi wa kuvurugana na familia yangu, kwa sababu ninaouwezo wa kula kunywa kulala mpaka kufa. Ninahofia upande wa pili tu. Two wrong cant make it right. Nimeshakosea na hilo liko wazi hivo nachukuwa mawazo ya kufanyia kazi.

Wanangu wanajua am a man wangenishangaa ikiwa wangesikia babao kabaka. Kwa hili hawana say yoyote. Issue ni kwamba nimelima kwenye shamba la mtu bila idhini na shamba likiwa limezungushiwa fence.
Mimi ni mmoja tu kati ya wale waliohamua kusema lkn tupo mamilioni
 
Huyo mwanamke anafaa zaidi kwa utekelezaji wa huu mpango
 
Hao sio watoto wako achanao na wanaume mnawapatia wake za watu mimba nawaombea mpate ajari mvunjike miguu mbwa nyie
Wakivunjika miguu si wataendelea kugonga, labda ungeomba yenye we ndo ivunjike.
 
Habari kama hii unapaswa umsimulie kwanza mkeo huenda akakushauri vizuri sio mambo yako ya ndani unakuja kutangaza huku
 
Kitanda hakizai haramu!!
 
[emoji38][emoji38]wonders shall never end
 
Huyo mwanamke anafaa zaidi kwa utekelezaji wa huu mpango
Mimi nina akili zaidi ya hizo za kwako boss, na haujanipata kwa kuniwekea mtego. Labda nikupe siri labda ndo kwanza unajifunza kuchepuka, ni hivi ukichepuka na mke wa mtu usitumie gari yako. Omba mkutane stendi ya daladala. Magari binafsi karibu stendi zote Dar hayaingii.

Na mkubaliane kukutana na usimwambie nawe utakuwa stendi bali mwambie akifika stendi akupigie simu. Akipiga simu unamwambia nawe uko stendi. Hapo mnachukuwa bajaji, wakati muangalie kama anachezea simu. Kama kimya poa ukitilia shaka nyendo zake kama kuongelea pembeni sepa achana naye.

Unaweza ukaenda hata lodge nne ukijifanya hujaridhika. Hahaaa alafu mimi demu ananifuata toka zake huko sijui Arusha au Moshi huo mtego wako utakusumbua sana, na mwanamke aliyeamua kubeba mimba tatu nje ya ndoa ukicheza we ndo anakulisha sumu kabla hujafika kwangu. Asomaye na afahamu
 
Ndoa zina mambo mengi sana, kama ilivyo kwa umri. Jinsi unavyokuwa mkubwa zaidi ndivyo makubwa pia yanavyotokea. Tunavyokuwa wakubwa zaidi, pamoja na mambo mengine, uwezo wetu wa kukabiliana (bare risk) kunatakiwa kuongezeka.

Mzee mwenzangu, hapo umeingia sehemu ambayo sio sahihi, hususan hili la watoto. Imagine wewe hapo mkeo aje akwambie kuwa wanao hao wana baba yao na anawahitaji. Utafanya nini? Utanyamaza tu, utamfukuza au itakuwaje? Yaan kwa umri wetu huu itokee kwako itakuwaje. Hebu jivike nafasi ya huyo mwenzako itakuwaje, vipi.

Na hebu fikiria taswira ya huyo mke wenu kwenye jamii, mke wa mtu uzae watoto watatu nje ya ndoa, just imagine hali utakayompa kwa kukosa kwako uvumilivu.

Suala la msingi hapa ni wewe kukaa kimya kabisa kuhusu hili suala, namaanisha hao watoto watoe kabisa akilini mwako. Waache kwa wazazi wao. Unless otherwise, waombee wavurugane waachane, hapo walau unaweza kuwadai.
 
Habari kama hii unapaswa umsimulie kwanza mkeo huenda akakushauri vizuri sio mambo yako ya ndani unakuja kutangaza huku
Hii wikendi acha stress ligi zimeisha hatuna pa kuangalia mpira hebu kuwa mpore watu walete maoni, hasira za nini
 
Mkuu !!
Ushauri wangu kwako ,usjjaribu kutoa hiyo siri kwa mume wa huyo mwanamke kwani inaweza kuwa na athari kwako kwake..hasa kuvunja familia zenu wawili pengine inaweza kuleta hata kifo..

Achana na hao watoto sio wako tena..

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa mzee mwenzangu, kwenye vikao vya wanaume japo wavulana huvamia lakini wenye busara hawakosekani, hoja yako nimeichukuwa.
 
Ila wanawake shida mkuu, tulishapoteza mawasiliano lakini kanitafuta na tukaanza mahusiano. Kumbuka mwanzo nikiwa naye alikuwa single mother. Ndo hivo mkuu ukubwa una mambo
 
Mamadenyi nimekuona hebu lete nasaha zako, siyo matusi tafadhari.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…