Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #181
πππππ Kwahyo wewe badala unipe mimi ushauri nasaha ukawa unanichora tuu ili niyakanyage....Ni almost mwaka. Nimekaa kwa password sana. Huwa ananiletea habari za kuishi wote lakini huwa naishia kuFLEW kama AVIATOR.
Sawa....Yote njoo nayoπ
Mimi sikai nae mkuu. Nimempangishia tu na wala hakai na mwanae. Amekaribia kujifungua piaπππππ Kwahyo wewe badala unipe mimi ushauri nasaha ukawa unanichora tuu ili niyakanyage....
Mimi nilikua na mpango wa kukaa nae yaani nimtoe kwa bibi yake nimlete maghetoni hapa..
Ila mapka sasa naona kabisa kama itakua ngumu kutokana na vitisho navyopata humu ndani..
Kingine wewe ni mzoefu ndani ya mwaka mzima una malengo nae yapi mkuu..?
Mkuu kuwala tunawala, ila tunakaa kijanja. Unampa ulicho na uwezo nacho ana ambacho uko tayari kukipoteza, maana wengi wao wanaingia kimkakati. Kama utakua unachagia ada ya dogo nusu akitokea wa kulipa full unaachwa, kama ulikua unalipa ada ya 1.5m full akimpata wa kumlipia shule ya 2.5m full unaachwa.Ila ushapita nao sana tuu .
Sema kweli mkuu.. usiogope ahahahh
πππ Ijumaa ijayoVishu ijumaa ukuje gomzi huku nitakua nipo na single mama wangu
Utategeshwa jaribu kupambana na hisia zako la sivyo utajutiaAsante mkuu ngoja nifanye hvo..
Au nimwambie ukweli tuu kuwa mimi na yeye ni kutoana nyege tuu.
Ila na wasi wasi anaweza nitegesheq mtoto maana juzi alikua anaongelea sana kuhusu mambo ya mimba et anatafuta mtoto mwingine
Haujambo baba wa kambo
Mkuu nimejikuta nampenda mnooo yaani najikuta namkubali kiasi ambacho akivaa ki jinsi flan yaani huwa nashindwa ku explain what is matter...Mimi sikai nae mkuu. Nimempangishia tu na wala hakai na mwanae. Amekaribia kujifungua pia
Nimedislike baada ya kuona unakaa nae na unataka umtoe mtoto kwa bibi umlete ndani. Nimelia sana
Ijumaa hii wewe..πππ Ijumaa ijayo
Kinga zipo akini hvo siogopi ngoja tuone lakini maana usije nishawishi nisimgonge...Utategeshwa jaribu kupambana na hisia zako la sivyo utajutia
Daah nishakua baba wa kambo tena..Haujambo baba wa kambo
Utamjua tu baba juniaDaah nishakua baba wa kambo tena..
Hata huyo mwanae jina simjui na sijawahi kumuona ila ni picha tu
Ahahaha skia sasa mi hapa nakula alafu napita hivi kudadek.....Utamjua tu baba junia
muuuuuh hapo umenishinda tabia ndugJe, ulihudhuria msiba wa Baba mtoto na uliuona mwili wa Marehemu?
Au huyo mwanamke amekuonyesha kaburi la jamaa?
kisha Ukalifukua ukachukua sample ya mwili ukapima DNA yake na ya Mtoto ili kuhakikisha kwamba baba wa mtoto hapumui?
Nasikia single mom ni "gusa achia twende kwao" ukigusa hutokiAhahaha skia sasa mi hapa nakula alafu napita hivi kudadek.....
Mi siogopi wala nini
acha kujitetea kijana au nkuite tena totooSawa....
Alafu sitaki nije uwe unanifokea an leo mi nitaota yote ya moyoni jamn ili nikija huko yasitokee ya kutokea ahahh
Wewe wewe sio kwangu mimi...Nasikia single mom ni "gusa achia twende kwao" ukigusa hutoki
Ilazimishe isikusaliti mkuuMbele ya shape akili huwa inakusaliti kaka