Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
We dogo akili yako unaijua mwenyewe, ant Dorry usimuache kwanza.Mkuu ndio maana nipo hapa kupata ushauri ..
Unajua ishu inakuja ni kuwa nimependa mkuu wangu ila kuhusu kuoa sina uhakika
Ila nawaza je nikila nikaona ni mtamu kuliko antiel dorry mi tafanya nini...
Vishu Mtata nisaidie hapo tafanyaje
Nilikuahidi nina mdogo wangu?Ahahahhaa alafu mkuu..
Uliniahidi kuwa una mdogo wako et
Dogo mi sio kicheche, natafuta mke saiviBora nipige alafu nikimbieeee kama anavyofanya Vishu Mtata
Tabia za Dharau, kiburi, kujiskia kila kitu wanaweza, tembea na single mother Kama wa tano utaona Kuna vitu vingi wanafanana hasa madharau!Bora nipige alafu nikimbieeee kama anavyofanya Vishu Mtata
πππARV zitakuwa chache sana sbb ya USA kujitoa WHO, kuwa makini
Mara ya ngap hiiNisamehe mimi ety
Ukipenda boga penda na ua lake! Onyo: Kabla hujaoa single mother, hakikisha umeona kaburi la mwenza wake, vinginevyo awali ni awali hakuna awali mbovu.Wakuu salama salama..
Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.
Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..
Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...
Vishu Mtata
Waislamu wameshazoea kuloewa zaidi ya mara nyingi na kuzaa na wanaume zaidi ya mmoja kwao ni kawaida tofauti na Wanawakwe waki kristo wanapenda kuzaa na Mwanaume mmoja, mfano Mwanamke wa kikristo akishaolewa na akifanikiwa kupata mfano watoto wa nne na mme wake akafa au wakaachana kwa mazingira yoyote huyo Mwanamke kuolewa tena au kuzaa tena watoto na Mwanaume mwingine tofauti na yule wa kwanza ni ngumu, Sisi jamii ya watu wa Bara tumezoea na kuona Baba ana watoto wengi kwa Wake wengi na siyo Mama kupata watoto wengi kutoka kwa wanaume wengi, Kwa Waislamu wao utakuta Mama amezaa watoto 8 kwa Mwanaume 5.Umewaza nini mkuu kusema hvi kuhusu uzazi wa mpango na dini...?
Ni MSAbato..
Kuhusu uzazi wa mpango sina uhakika
Unaweza kukimbia kumbe unamkimbia mke safi unaenda kuoa dubwana la kitambaa cheupe, shauriloWakuu salama salama..
Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.
Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..
Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...
Vishu Mtata
Anti dorry simuachi ila ananipa changamoto maana yeye anatumia pombeWe dogo akili yako unaijua mwenyewe, ant Dorry usimuache kwanza.
Kumbuka mkuuNilikuahidi nina mdogo wangu?
Vishu najua unachoogopa hapa jukwaani..Dogo mi sio kicheche, natafuta mke saivi
Wee jamaa ushatembea na wangapi..?Tabia za Dharau, kiburi, kujiskia kila kitu wanaweza, tembea na single mother Kama wa tano utaona Kuna vitu vingi wanafanana hasa madharau!
Mchawi huyo πππππππ
Sirudiii tena....Mara ya ngap hii
ππππππ Acha kutisha wenzako mkuu..Ukipenda boga penda na ua lake! Onyo: Kabla hujaoa single mother, hakikisha umeona kaburi la mwenza wake, vinginevyo awali ni awali hakuna awali mbaya.
Duuuh mbona hataree hii sasaWaislamu wameshazoea kuloewa zaidi ya mara nyingi na kuzaa na wanaume zaidi ya mmoja kwao ni kawaida tofauti na Wanawakwe waki kristo wanapenda kuzaa na Mwanaume mmoja, mfano Mwanamke wa kikristo akishaolewa na akifanikiwa kupata mfano watoto wa nne na mme wake akafa au wakaachana kwa mazingira yoyote huyo Mwanamke kuolewa tena au kuzaa tena watoto na Mwanaume mwingine tofauti na yule wa kwanza ni ngumu, Sisi jamii ya watu wa Bara tumezoea na kuona Baba ana watoto wengi kwa Wake wengi na siyo Mama kupata watoto wengi kutoka kwa wanaume wengi, Kwa Waislamu wao utakuta Mama amezaa watoto 8 kwa Mwanaume 5.
Nitaona powa tu. Poor brain achana na huyo single mother sababu alie zaa nae kama bado yupo hai, kupasha moto kiporo kwake ni sawa na kumsukuma mlevi wa gongo.ππππππ Acha kutisha wenzako mkuu..
Assume wewe ndo huyo baba wa mtoto alafu unakuta comment kama hzi imagine πππ
Mimi sio falaaaaaaaaaaSirudiii tena....
Mariooo ""nikazama""
Sawa sawa msapinungu..Nitaona powa tu. Poor brain achana na huyo single mother sababu alie zaa nae kama bado yupo hai, kupasha moto kiporo kwake ni sawa na kumsukuma mlevi wa gongo.