Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Mkuu ndio maana nipo hapa kupata ushauri ..
Unajua ishu inakuja ni kuwa nimependa mkuu wangu ila kuhusu kuoa sina uhakika

Ila nawaza je nikila nikaona ni mtamu kuliko antiel dorry mi tafanya nini...

Vishu Mtata nisaidie hapo tafanyaje
We dogo akili yako unaijua mwenyewe, ant Dorry usimuache kwanza.
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Ukipenda boga penda na ua lake! Onyo: Kabla hujaoa single mother, hakikisha umeona kaburi la mwenza wake, vinginevyo awali ni awali hakuna awali mbovu.
 
Umewaza nini mkuu kusema hvi kuhusu uzazi wa mpango na dini...?

Ni MSAbato..
Kuhusu uzazi wa mpango sina uhakika
Waislamu wameshazoea kuloewa zaidi ya mara nyingi na kuzaa na wanaume zaidi ya mmoja kwao ni kawaida tofauti na Wanawakwe waki kristo wanapenda kuzaa na Mwanaume mmoja, mfano Mwanamke wa kikristo akishaolewa na akifanikiwa kupata mfano watoto wa nne na mme wake akafa au wakaachana kwa mazingira yoyote huyo Mwanamke kuolewa tena au kuzaa tena watoto na Mwanaume mwingine tofauti na yule wa kwanza ni ngumu, Sisi jamii ya watu wa Bara tumezoea na kuona Baba ana watoto wengi kwa Wake wengi na siyo Mama kupata watoto wengi kutoka kwa wanaume wengi, Kwa Waislamu wao utakuta Mama amezaa watoto 8 kwa Mwanaume 5.
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Unaweza kukimbia kumbe unamkimbia mke safi unaenda kuoa dubwana la kitambaa cheupe, shaurilo
 
Tabia za Dharau, kiburi, kujiskia kila kitu wanaweza, tembea na single mother Kama wa tano utaona Kuna vitu vingi wanafanana hasa madharau!
Wee jamaa ushatembea na wangapi..?
Maana unaonekana legend kaka
 
Ukipenda boga penda na ua lake! Onyo: Kabla hujaoa single mother, hakikisha umeona kaburi la mwenza wake, vinginevyo awali ni awali hakuna awali mbaya.
😀😀😀😀😀😀 Acha kutisha wenzako mkuu..
Assume wewe ndo huyo baba wa mtoto alafu unakuta comment kama hzi imagine 😀😀😀
 
Waislamu wameshazoea kuloewa zaidi ya mara nyingi na kuzaa na wanaume zaidi ya mmoja kwao ni kawaida tofauti na Wanawakwe waki kristo wanapenda kuzaa na Mwanaume mmoja, mfano Mwanamke wa kikristo akishaolewa na akifanikiwa kupata mfano watoto wa nne na mme wake akafa au wakaachana kwa mazingira yoyote huyo Mwanamke kuolewa tena au kuzaa tena watoto na Mwanaume mwingine tofauti na yule wa kwanza ni ngumu, Sisi jamii ya watu wa Bara tumezoea na kuona Baba ana watoto wengi kwa Wake wengi na siyo Mama kupata watoto wengi kutoka kwa wanaume wengi, Kwa Waislamu wao utakuta Mama amezaa watoto 8 kwa Mwanaume 5.
Duuuh mbona hataree hii sasa
 
😀😀😀😀😀😀 Acha kutisha wenzako mkuu..
Assume wewe ndo huyo baba wa mtoto alafu unakuta comment kama hzi imagine 😀😀😀
Nitaona powa tu. Poor brain achana na huyo single mother sababu alie zaa nae kama bado yupo hai, kupasha moto kiporo kwake ni sawa na kumsukuma mlevi wa gongo.
 
Nitaona powa tu. Poor brain achana na huyo single mother sababu alie zaa nae kama bado yupo hai, kupasha moto kiporo kwake ni sawa na kumsukuma mlevi wa gongo.
Sawa sawa msapinungu..
Ila nimepata wazo hili.

Ikiwa huyu single maza ananipa amani na furaha ya moyo.
Yanini niwe na dhana kuwa atakua anapasha viporo..
Why niwe na hiyo dhana (negativity).

Mkuu kiukweli mi nimepanga nile.na kusepa ila kwa jinsi anavyoonesha nidhamu hyu mtu daah i feel i lose my control....

Seriously yupo humble sana mkuu.
Yupo matured.
Kwa aliypitia nahisi imefanya apate funzo kubwa sana aiseee..

Mpaka sasa wazo la kusema nipige na kusepa limeanza kutoka maana nahisi kama takua namuumiza sana yaan mimi nilijua nimezama kwake ila kwa kitendo alichofanya leo i belive huyu mtu aaaaah mkuu acha tuu
 
Back
Top Bottom