Hapana mkuu, mimi mtu humble sana. Sinaga makuu kabisa aisee. Keyboard isikuaminishe hivyo mkuuHuwa nafatilia sana comment zako mkuu yaani si mara ya kwanza ndo maana nimeona comment yako nikaanza kucheka daaah ππππππ
Ukute hata out of jf upo hv hv mkorofi sana an
Mmmmmh mkuu ebu tuongee vzr kwanza an unamaanisha..Namuonea huruma atakaye jichanganya kwa huyu single maza.Ndugu yangu huyu sijui nani atambeba make hata mimi ndugu yake nimemshindwa yaani lile ni box tupu.
Aaaaaah wapi....Hapana mkuu, mimi mtu humble sana. Sinaga makuu kabisa aisee. Keyboard isikuaminishe hivyo mkuu
Utanishukuru,mimi ni mwanamke sio kwamba nawakandia ila kwa hawa ndugu zangu watatu basi nakushauri ufanye biashara ingineNi kuchapa na kusepa sio mkuu
Yangu ni hayo tu mkuu. Kaa kimkakati, ipige haswaa, ila usiingizwe mkenge wa kuhudumia hadi mtoto. Kama utafanya hivyo fanya kwa kiwango ambacho upo tayari kupoteza au ufanye unatoa sadaka haitakuuma. Ula kama utafanya ili yeye ukulipe mapenzi unayoyapata sasa uyapate forever, basi kuna siku utalia na kukumbuka huu uzi. Mkuu ndoto ya kila single mama ni kupata mwanaume atakaemjali mtoto wake, akimpata huyo baasii anampa kila kitu na kila style, na hapo ndipo wanaume wengi hupimbazwa. Unapewa mbususu usiku asubuhi una authorize ada ya daycare ya mtoto wake, halafu akitoka public anajisifu kuwa analea mtoto wake peke yake, mixer kusema βsingle and independentβ. Kaa kijanja mkuuMmmh wee jamaa upo smart..
Inaelekea una experience na hawa watu kinoma noma an daaah the way unanifafanulia hapa daah naona kabisa huyu nae yupo ki mkakati aiwezekani kusema na yeye kanikubali tuu from her heart
Hahahaha kama kwel vile ππππMs r mara ngap nakufata lakini unajua kunitolea maneno makali...
Nakumbuka mara ya mwisho ulisema et nisome kwanza.. ile kitu mpaka leo inaniuma π₯π₯π₯
Asante mkuu ngoja nifanye hvo..Utanishukuru,mimi ni mwanamke sio kwamba nawakandia ila kwa hawa ndugu zangu watatu basi nakushauri ufanye biashara ingine
Am talking from the Heart of my bottom mkuu ππππHahahaha kama kwel vile ππππ
πππππMkuu kwanza nashukuru snaa kwa ushauri wako..Yangu ni hayo tu mkuu. Kaa kimkakati, ipige haswaa, ila usiingizwe mkenge wa kuhudumia hadi mtoto. Kama utafanya hivyo fanya kwa kiwango ambacho upo tayari kupoteza au ufanye unatoa sadaka haitakuuma. Ula kama utafanya ili yeye ukulipe mapenzi unayoyapata sasa uyapate forever, basi kuna siku utalia na kukumbuka huu uzi. Mkuu ndoto ya kila single mama ni kupata mwanaume atakaemjali mtoto wake, akimpata huyo baasii anampa kila kitu na kila style, na hapo ndipo wanaume wengi hupimbazwa. Unapewa mbususu usiku asubuhi una authorize ada ya daycare ya mtoto wake. Kaa kijanja mkuu
Take it easy mkuu. Ila pia nina hilo singomaza Choyochoyo tu. Jana nimelipa hela likanunue nguo usiku nikaliambia usiku lipike nsosi ntapita kula, imefika usiku nalipigia linaniambia halijapika limenunua mihogo ya kukaanga. Liliniudhi sana. Sio mara ya kwanza, lina elements hizo hadi kwa rafiki zake.Aaaaaah wapi....
Labda ngoja tuoneee maana unakuaga na comments za kukera sana wewe ππππππ
nmekujibu kule ndani umeeleweka leo wapi jioni hiiππππAm talking from the Heart of my bottom mkuu ππππ
ππππππAhahaha kumbe na wewe ni familia..Take it easy mkuu. Ila pia nina hilo singomaza Choyochoyo tu. Jana nimelipa hela likanunue nguo usiku nikaliambia usiku lipike nsosi ntapita kula, imefika usiku nalipigia linaniambia halijapika limenunua mihogo ya kukaanga. Liliniudhi sana. Sio mara ya kwanza, lina elements hizo hadi kwa rafiki zake.
Hili jitu ni bure kabisa. Sijui sharti ulilopewa, ila ni bora kuliko hili janamke aisee
πππ hapana mkuu sio kuwa deep, ni kuwasoma tu hawa viumbeπππππMkuu kwanza nashukuru snaa kwa ushauri wako..
Aiseee sio mda nakuja pm kila update takuwa nakupa mkuu ili nijue kila kitu aiseee maana naona kabisa upo deep sana kwa hii sector πππππππππ
Basi leo nakuja bananmekujibu kule ndani umeeleweka leo wapi jioni hiiππππ
Ila ushapita nao sana tuu .πππ hapana mkuu sio kuwa deep, ni kuwasoma tu hawa viumbe
Na mahindi bwan weweBasi leo nakuja bana
π€π€π€
Nije na yogart au ....?
Ya kuchemsha aus ya kuchoma...?Na mahindi bwan wewe
Ni almost mwaka. Nimekaa kwa password sana. Huwa ananiletea habari za kuishi wote lakini huwa naishia kuFLEW kama AVIATOR.ππππππAhahaha kumbe na wewe ni familia..
Sasa wewe naweza sema ni kontawa kwa hawa single mom mkuu kwanza hongera yako..
Umekaa nae kwa mda gani mkuu maana naona kama unainjoi sana mpaka mmefikia hatua hyo
Yote njoo nayoπYa kuchemsha aus ya kuchoma...?