Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

Endelea sasa hapo "The rest is history" ili tujue kama ni maisha ya kweli au wewe ni motivisheni spika tu.
 
Kama ni sound ni utapeli na hausaidii watu.
Kumotivate mtu na kumpa way foward for free ni jambo kubwa iwe realy au sound....!

Mzee kama haujapitia izi Mbanga za Mwanaukome uwezi elawa,
kama umekuta mitaro ipo ogelea tu na mshukuru Mungu,

wengine tunapitia moto mkali kubreak poverty cycle
 
Thank you very much huu ndio u smart sio unapiga kelele mtandaoni hapa shababu wa miaka 25 ingia msituni kata kuni utapata pesa .
 
Habari, nina diploma ya ugavi na udhoefu wa mikopo, individual and groups (microfinance) nahitaji kazi yoyote kwa sasa,nikipata usimamizi na utendaji kwenye biashara yako nitakuingizia faida sana, nina management skills kubwa sana
0712605935
Nipo DSM
26yrs
 
Nashukuru sana mkuu. Ila hiyo namba ipo WhatsApp
 
Mkuu ichi ulichokiandika ndo nakipitia sasa, ni bachelor digrii holder,sina kazi,sina mtaji,sina mchongo mbaya zaidi wife ana ujauzito wa miezi 8. Hivi hapa natafuta ela kdg kuna mji nataka nizamie, hapa hapa Tz nikatafute hela (Siwez fanya shughuli zangu za level ya chini nikiwa huu mkoa niliopo sababu zinaendana na izo ulizozitoa ww kipindi icho). Eeh Mungu saidia mja wako[emoji120]
 
Ni PM Mkuu kama hutojali.
 
Reactions: hnp
Tatizo kubwa wa wabongo ni kukosa uaminifu, tamaa ya mfanikio ya haraka na kuwa na tamaa.
 
kama huchagui kazi...ebu njoo kwenye kampuni yetu ya gardaworld....hii ni kampuni ya ulinzi njoo ujishikize hapa kwa mwezi wanakulipa 250k na kuendelea...

unatakiwa uwe mrefu...nadhani ni kuanzia ft 5.64
tumia cheti chako cha kidato cha nne tu...!
uwe na cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida...na wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicaly...

nakutakia heri na mafanikio rafiki yangu
 
Kumotivate mtu na kumpa way foward for free ni jambo kubwa iwe realy au sound....!

Mzee kama haujapitia izi Mbanga za Mwanaukome uwezi elawa,
kama umekuta mitaro ipo ogelea tu na mshukuru Mungu,

wengine tunapitia moto mkali kubreak poverty cycle
kweli kabisa mkuu....kuna wengine tumerithi majina tu...tupo tunahangaika kuzitafuta kesho za wazazi wetu...sasa wenzetu wengine kesho yao ilishatengenezwa na wazazi wao...haya maisha hayana usawa kabisa ndugu yangu
 
Reactions: Oxx

Ndo maisha mkuu, tena ukute bahati mbaya unakabiziwa mjukumu na huna pakushika....! Unajikusanya upate mtaji, ukigeuka kuna watu wanamahitaji...

Tupambane na tusikate tamaa, naamini tukijishughulisha bila kujali Mungu analeta mkuu, tutapitia changamoto nyingi ila tutafika tu iwe jua iwe mvua....!
 
Shukrani sana mkuu, nimekuja PM
 
Shukrani sana mkuu, nimekuja PM
kama unavyo vigezo nilivyokutajia kwa dar es salaam ofisi zipo mikocheni ile njia inayoelekea kawe......ukiwa unatokea kinondoni, kupita makao makuu ya zantel....kuna kituo kinaitwa kwamwinyi....ukifika hqpo ukimuuliza mtu yeyote atakuelekeza ofisi za garda zilipo...ukifanikiwa njoo utoe mrejesho...kitakacho kubeba hapo ni vigezo tu hakuna rushwa wala hongo ya aina yoyote

Arusha​

Plot Number 11 Simeon Road Kijenge Area
GW - Arusha Branch
Arusha
Tanzania
+255 754 250 600
 
kama huchagui kazi...ebu njoo kwenye kampuni yetu ya gardaworld....hii ni kampuni ya ulinzi njoo ujishikize hapa kwa mwezi wanakulipa 250k na kuendelea...

unatakiwa uwe mrefu...nadhani ni kuanzia ft 5.64
tumia cheti chako cha kidato cha nne tu...!
uwe na cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha nida...na wadhamini wawili ambao watakuwa teyari kuja kukudhamini phisicaly...

kama unavyo vigezo nilivyokutajia kwa dar es salaam ofisi zipo mikocheni ile njia inayoelekea kawe......ukiwa unatokea kinondoni, kupita makao makuu ya zantel....kuna kituo kinaitwa kwamwinyi....ukifika hqpo ukimuuliza mtu yeyote atakuelekeza ofisi za garda zilipo...ukifanikiwa njoo utoe mrejesho...kitakacho kubeba hapo ni vigezo tu hakuna rushwa wala hongo ya aina yoyote
nakutakia heri na mafanikio rafiki yangu
 
Shukrani sana mkuu, Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…