paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Hivi mkuu, tokea vifo vifululize hapa inapita wiki kama tatu sasa na, Ni lini tena Chadema wazee wa kuripoti habari za misiba wamefanya hivyo??Mnazidi kuithibitishia Dunia kuwa mnauwezo mdogo wa kufikiri
Inategemea unakunywa wakati gani ,waswahili tuna hili kambale mkunje angali mbichi. usingojee mpaka umekakamaa ndio unatafuta malimao na tangawizi,kama ulikuwa mtu wa kahawa na chai sasa ni chai ya tangawizi kwa limao unaongeza na karafuu za pemba tatu au zaidi ili kuongeza uhalisia badara ya sukari ya mabeberu tumia asali mwitu kwa maana usitumie zile asalai zilizosafishwa na kuchakachuliwa.Hizi spices nyingi asilia yake ni Asia watu huko wamekufa huku wakiwa na glasi za tangawizi mikononi na sasa wanalilia chanjo sasa nyinyi maprofesa uchwara na makada wa CCM mtatuua mpaka lini.
Sawa tuwaambie wahisani waache kutusumbua na mavidonge yao ya ARV ili tujishughulikie kwa nyungu malimao na Tangawizi au sio Ndugu?Kaa kimya tuionyeshe Dunia namna Bora ya kushughurikia milipuko ya magonjwa
NdiyoYaani prof mzima anaongea utopolo namna hii? Huyu si alikuwa taaluma UDSM?
Tulikuwa hatujajitambua hasa watu wa mjini nenda maeneo ya vijijini uone kama utakuta dawa ya kizungu ya mafua.Mkuu kama ndio hivyo ni kwa nini tumekua tukitumia mabilioni kila mwaka kuagiza madawa ya mafua, upumuaji, athma na magonjwa ya mfumo wa hewa badala ya kutumia tangawizi na limao?...
Sio majaribio yametekelezwa? Mamilioni walipata chanjo nchini Israeli. Vifo vya Covid vya wazee vimepungua sana (kabla ya chanjo walijaa hospitali). mamilioni wengine wamepata chanjo Ulaya na marekani.Sisi Watanzania hatutaki kabisa kuziona hizo chanjo zao za majaribio.
Rais wa Zanzibar ameeleza kuwa hali ni mbaya kule wanakabiliwa na Corona karafuu mbona wanazo nyingi hazijasaidia mkuu hata limao na tangawizi zipo nyingi. Mimi naona tusiingize ushabiki kwenye maisha ya watuInategemea unakunywa wakati gani ,waswahili tuna hili kambale mkunje angali mbichi. usingojee mpaka umekakamaa ndio unatafuta malimao na tangawizi,kama ulikuwa mtu wa kahawa na chai sasa ni chai ya tangawizi kwa limao unaongeza na karafuu za pemba tatu au zaidi ili kuongeza uhalisia badara ya sukari ya mabeberu tumia asali mwitu kwa maana usitumie zile asalai zilizosafishwa na kuchakachuliwa.
Wew utakuwa na matatizo ya ubongo siyo.Hujui kuwa Tangawizi na Limao imekuwa ikitumika miaka mingi kuponyesha mafua na magonjwa yanayohusiana na upumuaji?? Waulize wazee wako bahati mbaya umekalia kugoogle tu! Watumie wazee watakupa maarifa mengi sana.
Yaani prof mzima anaongea utopolo namna hii? Huyu si alikuwa taaluma UDSM?
Mkuu kama ndio hivyo ni kwa nini tumekua tukitumia mabilioni kila mwaka kuagiza madawa ya mafua, upumuaji, athma na magonjwa ya mfumo wa hewa badala ya kutumia tangawizi na limao?
Kwa nini serikali imekua ikitumia hela zote hizo huku dawa ya hayo magonjwa inajulikana miaka mingi?
Mkuu Imhotep, mpaka sasa ni mtu mmoja tu tena Mwafrica kama wewe, ambaye amewahi kutibu wagonjwa wa Ukimwi Ila hao unaowapenda Sana walimnyonga, na ndiyo Maana inatubidi turudue akili zetu waafrica,Sawa tuwaambie wahisani waache kutusumbua na mavidonge yao ya ARV ili tujishughulikie kwa nyungu malimao na Tangawizi au sio Ndugu?
Usiwe mjinga.Ni mtu mmoja tu tena Mwafrica kama wewe, ambaye amewahi kutibu wagonjwa wa Ukimwi Ila hao unaowapenda Sana walimnyonga, na ndiyo Maana inatubidi turudue akili zetu waafrica...