Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

Kama unaujali urafiki wenu muache aliwe pesa msigombane,kama unajali pesa zake gomban naye kwa kumuambia aache huo usenge!
 
Kuna kitu inaitwa Risk Management.
Ukizingatia hiyo utasurvive kwenye Fx. Hii kitu haiihitaji mizuka.
 
Hata Kama angepiga hela, wanene wangesema huduma ya kutoa kupitia Ipay imesitishwa kwa muda!
 
hizi hela ni za bure lazima nizipate.

Then he keeps on saying HELA za FOREX zipo tuu na ni zabure

TELL HIM THAT "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERICA"

hakunaga pesa za bure,,akishajua hlo mwambie airudie tena hyo fx akiwa na different mentality.
 
Naomba unitumie ivyo vitabu kwenye email walipendwa@gmail.com
 
Kama ni mvivu wa kusoma,ni bora ukakaa mbali na forex.
Alafu huyo ana papara na haraka sana.
Bado hajaifahamu forex,kwa nini asitrade demo kwanza ?
 
 
Yeah mkuu
 
Naomba nitumie mkuu
 

Story kama zile za Forever Living,hatariiiiiiiiiii
 
Namiliki Harrier ya mil 35 Kwa biashara hiyo
 
Pole Sana ndugu yangu nakuona unavyotumia kivuli Cha rafiki yako .
Anyway maisha Ni kuchagua umechagua forex ,huna budi Kula nayo Shani moja
Huo ujanja wa watu wa forex Safi Sana maana unawafundisha life ndugu zetu
 
Acha kupoteza muda mkuuu...!! Huyo anataka akupige pesa PM hukoo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ufala wa kujenga kwa Forex bongo ni ndotooo...
😁 😁 😁 😁 😁 Mkuu unaharibu fursa za watu
 

It is happening.
Last week nimeenda kwa banker dawati la premium banking ananiambia lazima utakuwa unatrade forex na yeye anataka nimfundishe kiutani utani nimenyaka kichwa changu ada anayonilipa watanzania wachache wana moyo huo
 
hizi hela ni za bure lazima nizipate.

Then he keeps on saying HELA za FOREX zipo tuu na ni zabure

TELL HIM THAT "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERICA"

hakunaga pesa za bure,,akishajua hlo mwambie airudie tena hyo fx akiwa na different mentality.
Na hicho ndio kinachomponza kudhani hela ni zabure. Nahisi anatamani kuwa bilionea mtoto maana stories zake ni za ela ndefu only.
 
Kama ni mvivu wa kusoma,ni bora ukakaa mbali na forex.
Alafu huyo ana papara na haraka sana.
Bado hajaifahamu forex,kwa nini asitrade demo kwanza ?
Demo ashafanya sana akaona Inalipa akazama real.
Akiliwa anakaa kimyaaa.. Then akila even $40 kila mtu atajua Iyo siku, shida yake Ingine anasahau kaliwa ngapi so akila kidogo anafurahiii wakati ndani ya 24hrs analiwa tena zaidi na zaidi
 
Jana amenunua latest books kwa LORDFX sijui ni broker wa wapi, katumia ela zote now ashaanza kunililia shida.
Wale walokole please muwekeni jamaa kwenye maombi na maombezi kila mpigapo goti kwa muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…