imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mimi sio Mtutsi wa Rwanda wala Congo kwanza rekebisha hiyo sentensi yako ili tuendelee na mjadala.Kubalini, kuishi na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio Mtutsi wa Rwanda wala Congo kwanza rekebisha hiyo sentensi yako ili tuendelee na mjadala.Kubalini, kuishi na watu
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Aaah wapi acheni mikwara...Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
There are only two ending scenarios..nakubaliana na hoja zako zote ila hoja ya annexation ya sehemu ya DRC inanipa ukakasi.
..serikali ya DRC itawajibika kuweka mifumo ya kiutawala na kiulinzi baada ya SADC kuwafukuza hao wanaitwa waasi.
..pia kuwepo kwa demilitarized zone mpakani kwa DRC ili nchi yeyote isipate kisingizio kwamba jirani anapanga kumvamia.
NB:
..Eastern DRC ni shamba la Bibi la Kagame na Museveni. Wamekuwa mabilionea kwa kuiba madini ya DRC. Maokoto wanayoyapata DRC ndio yanawezesha kung'ang'ania madarakani.
View: https://m.youtube.com/watch?v=g8RyEDJeM3I
Ukiingia YouTube kuna video mpaka za hao M23 wenyewe kusema wanaachia maeneo, kuna video za wananchi kutoamini wakijua ni swala la muda tu watarudi.
Ukiingia YouTube kuna unlimited narrative and perspectives you want to hear on what Kenya achieved in short space of time.
DRC 🇨🇩 ilikuwa na matatizo hata kabla ya "URUGWIRO VILLAGE" kuwepo.Rwanda ni sehemu tu ya mzozo ila matatizo ya Drc ni zaidi ya Rwanda.
zitto junior JokaKuu imhotep Richard
Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
EeeenHeeee, jamaa wanavyo pamba, kwa mtu asiyejuwa haya atadhani Kagame kweli ni Putin wa hapa!Aaah wapi acheni mikwara...
Heshima mkuu, lakini kuhusu hili sina sababu kabisa ya kuingia youtube kama unavyo nishauri. Kenya walifanya utapeli wa hali ya juu sana na kumdanyanya Tishekedi kuwa watakwenda kupambana na M23. Walipofika Goma wimbo ukabadilika na kusema wao hawakuja kupigana vita bali kulinda amani. Hakuna mahali popote Kenya alipowasambaratisha M23, bali walianza kushirikiana na M23 na kukubaliana M23 aondoke baadhi ya maeneo kimkakati, ili kuhadaa serikali ya Congo.
Unanishangaza sana unapo sifia mafanikio waliyopata Kenya kwa kazi waliyofanya Congo, wakati imelazimika waondoke kwa aibu kubwa baada ya kustukiwa udanganyifu waliokuwa wakiufanya.
Huyo Nyaga unayemwonyesha hapo, hivi hujui alivyoondoka Congo kwa aibu?
Ni rahisi sana kuiblame Rwanda kunakofanywa na Viongozi na Wanasiasa wa Kongo.Rwanda ni sehemu tu ya mzozo ila matatizo ya Drc ni zaidi ya Rwanda.
zitto junior JokaKuu imhotep Richard
View: https://m.youtube.com/watch?v=47L5nstXb24&pp=ygUJbTIzIGtlbnlh
Kenya wamepigana na M23 maeneo kadhaa hadi kupoteza askari.
Wacha political theories mkuu, facts on what transpired zipo; mpaka video za wenyeji wa maeneo ya walipokuwa M23 na kukimbia wakielezea mapigano, video za jeshi la Congo wakiongea kuchukua hayo maeneo.
Like I told every narrative and perspective ipo ukitaka kujua Kenya walicho achieve ndani ya muda wao.
There are only two ending scenarios
1. Ni hiyo ambayo wewe, mimi na watu wote wanaoitakia Congo mema kuona serikali yao ina control hiyo region. Trouble is they are not fully committed, matokeo yake kila siku nchi zingine zinapeleka askari, wakiondoka na vikundi vya waasi vinarudi hali hii itaendelea mpaka lini?
2. Waasi (and Kagame) wanataka annexation ya eneo not ideal for Congo; ila halina madhara kwetu we have tried our best to prevent that from happening lakini serikali ya Congo aibebeki huo ukweli ifike hatua tuukubali pia and focus on planning what kind of a relationship we want (as mitigating strategy) na hiyo nchi mpya should the rebel succeed.
Lakini ku-commit jeshi kusaidia Congo indefinitely what do we gain zaidi ya loss of lives tu and probably war costs sidhani kama SADC wana military budget inayochangiwa na nchi yeyote ambayo inatumika kwenye mission yeyote zaidi ya kutoa hela kutoka mfukoni kwako tu.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Ni rahisi sana kuiblame Rwanda kunakofanywa na Viongozi na Wanasiasa wa Kongo.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Endeleeni kudanganyanq hapo kiyovuNa Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.
PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Hapo ndio utaona Kwa mara ya kwanza iskanda inarushwa kutoka 93kj pale IlolanguluBahima Empire,Plundering and piracy ya resources ndio msingi mkubwa wa mauaji ya raia wasio na hatia..
Hatuwezi kuwa salama kama nchi ikiwa tutabariki uharamia wa rasilimali kwa wenzetu (DRC) wenye impact kubwa kwenye uchumi wetu..Logistics infrustructure and trade.
Tukizembea na kujizima data ipo siku M24 wataingia Ngara,Geita,Kahama,Biharamulo..
Ni vile maazimio ya kuzuia mashambulizi ila JW Wana wapa laha sana hao mgambo wa chigaliMbona huwa mnasema jeshi letu ni imara kuliko la Rwanda, sasa inakuwaje wanaingiza ubaridi tena? Au jeshi letu ni dhabiti kwenye kudhibiti rais wasio na silaha ambao hawaikubali ccm?
Iskanda ndo nini?Hapo ndio utaona Kwa mara ya kwanza iskanda inarushwa kutoka 93kj pale Ilolangulu