Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

Rwanda ni sehemu tu ya mzozo ila matatizo ya Drc ni zaidi ya Rwanda.

zitto junior JokaKuu imhotep Richard
 
There are only two ending scenarios

1. Ni hiyo ambayo wewe, mimi na watu wote wanaoitakia Congo mema kuona serikali yao ina control hiyo region. Trouble is they are not fully committed, matokeo yake kila siku nchi zingine zinapeleka askari, wakiondoka na vikundi vya waasi vinarudi hali hii itaendelea mpaka lini?

2. Waasi (and Kagame) wanataka annexation ya eneo not ideal for Congo; ila halina madhara kwetu we have tried our best to prevent that from happening lakini serikali ya Congo aibebeki huo ukweli ifike hatua tuukubali pia and focus on planning what kind of a relationship we want (as mitigating strategy) na hiyo nchi mpya should the rebel succeed.

Lakini ku-commit jeshi kusaidia Congo indefinitely what do we gain zaidi ya loss of lives tu and probably war costs sidhani kama SADC wana military budget inayochangiwa na nchi yeyote ambayo inatumika kwenye mission yeyote zaidi ya kutoa hela kutoka mfukoni kwako tu.
 
Heshima mkuu, lakini kuhusu hili sina sababu kabisa ya kuingia youtube kama unavyo nishauri. Kenya walifanya utapeli wa hali ya juu sana na kumdanyanya Tishekedi kuwa watakwenda kupambana na M23. Walipofika Goma wimbo ukabadilika na kusema wao hawakuja kupigana vita bali kulinda amani. Hakuna mahali popote Kenya alipowasambaratisha M23, bali walianza kushirikiana na M23 na kukubaliana M23 aondoke baadhi ya maeneo kimkakati, ili kuhadaa serikali ya Congo.

Unanishangaza sana unapo sifia mafanikio waliyopata Kenya kwa kazi waliyofanya Congo, wakati imelazimika waondoke kwa aibu kubwa baada ya kustukiwa udanganyifu waliokuwa wakiufanya.
Huyo Nyaga unayemwonyesha hapo, hivi hujui alivyoondoka Congo kwa aibu?
 
Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.

PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.

We mtutsi acha kujidanganya..
 
Aaah wapi acheni mikwara...
EeeenHeeee, jamaa wanavyo pamba, kwa mtu asiyejuwa haya atadhani Kagame kweli ni Putin wa hapa!
Hapana, labda ingefaa kumfananisha na Netanyahu wa hapa, kwa sababu hiyo ndiyo 'model' muhimu anayo ifuata yeye.
Ulinganisho pekee na Putin, labda ni huko kutaka maeneo ya jirani ya nchi zinazomzunguka ambako watu wa asili ya Rwanda wamejipenyeza kwa wingi.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=47L5nstXb24&pp=ygUJbTIzIGtlbnlh
Kenya wamepigana na M23 maeneo kadhaa hadi kupoteza askari.

Wacha political theories mkuu, facts on what transpired zipo; mpaka video za wenyeji wa maeneo ya walipokuwa M23 na kukimbia wakielezea mapigano, video za jeshi la Congo wakiongea kuchukua hayo maeneo.

Like I told every narrative and perspective ipo ukitaka kujua Kenya walicho achieve ndani ya muda wao.
 
Mkuu, nikuache kama ulivyo, kwa sababu hujui unacho andika. Huyo askari alikufa kwa ajali, hayakuwa mapambano na M23.
Hapakuwepo na uhasama wowote kati ya Kenya na M23 kiasi kwamba askari wa Kenya kuuawa kwenye mapambano.

Mkuu 'Mayor' ninakufahamu muda mrefu humu JF, wewe ni mbishi hata katika mambo yaliyo wazi kabisa.
 

1. Rwanda na Uganda wanatoa wapi budget ya kufadhili maasi dhidi ya DRC? Kama budget ya kufadhili maasi ipo, basi budget ya kuzima uasi lazima chanzo chake kip.

2. DRC wataweza kusimika mifumo ya ulinzi, usalama, na utawala, ikiwa kutakuwa na mazingira ambako hakuna uasi. Hata jeshi letu Jwtz lilianzishwa baada ya uasi wa Tanganyika Rifles kuzimwa na Muingereza, na Nyerere kuwa na " space " ya kufanya what was needed to be done.
 
Labda angekuwa Membe,Kagame alihakikisha kamtoa Membe kwanza,huyo Mama anamugopa sana Kagame
 
Acha kuishi na kuwaza kawaida bro! Jiulize kwanza, Haiti ni ndogo kama chalinze, ipo pembezoni mwa, USA, kwanini USA hapeleki majeshi yake pale kutuliza Amani? Kama, aliweza, kupeleka Afghanistan, Iraq, nk kwanini sio Haiti? Ila anatoa pesa anaipa Kenya ipereke polisi!
Why! Congo hapo ni Vita ya maslahi, Rwanda haina economic muscles ya kuendesha Vita na Ku support M23, kuna powerful non state players wapo nyuma!
Hapo ni tpdf kukiwasha, kwa, akili, na kuiba jspo madini kidogo, kama tuliweza kuikomboa kusini mwa Afrika, hatushindwi Congo,
Hao Rwanda walienda Mozambique, kutuliza magaidi, Hari imekuwa tete wamekimbia,
 
Na Kagame siyo wa mchezo mchezo. Ni Putin wa Afrika huyu, akiamua kumung'oa mama jua halizami.

PK aliwahi kumwambia JK, I will hit you!. JK hakutia neno.
Endeleeni kudanganyanq hapo kiyovu
 
Mbona huwa mnasema jeshi letu ni imara kuliko la Rwanda, sasa inakuwaje wanaingiza ubaridi tena? Au jeshi letu ni dhabiti kwenye kudhibiti rais wasio na silaha ambao hawaikubali ccm?
 
Hapo ndio utaona Kwa mara ya kwanza iskanda inarushwa kutoka 93kj pale Ilolangulu
 
Mbona huwa mnasema jeshi letu ni imara kuliko la Rwanda, sasa inakuwaje wanaingiza ubaridi tena? Au jeshi letu ni dhabiti kwenye kudhibiti rais wasio na silaha ambao hawaikubali ccm?
Ni vile maazimio ya kuzuia mashambulizi ila JW Wana wapa laha sana hao mgambo wa chigali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…