Habari zenu wakuu,.Mimi ni kijana wa makamo kidogo,born January 1995.
Nina elimu ya kidato cha sita, chuo nilifika lakini sikumaliza niliishia mwaka wa pili (udom coed).
Mkuu kwa mda sana nimehangaika huku na kule lakini mambo bado magumu hadi sasa nikaamua kujishughulisha na kazi za uvuvi.kazi ambayo sijawi fanya hapo kabla,even though napata kipato humo kwenye uvuvi lakini hakinitoshelezi ni kidogo sana.
Hivyo bas nawaombeni ndugu zangu,najua humu kuna watu wenye status mbalimbali.Nawaombeni sana kama mtaweza nisaidia nipate kazi kulingana na elimu yangu niliyonayo.
Mimi natokea mkoa wa mara ila kwa sasa niko Mkoani Tanga.