Nina elimu ya kidato cha sita, naomba kazi

Nina elimu ya kidato cha sita, naomba kazi

Mkuu kumbe ni wewe..... Sina uhitaji mkuu nilikuwa natania ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿ˜‚
Kwani nani alikua anakuhitaji? Wee ndo mwenye uzi? Kihere here chako tyuuh, kudandia visivyokuhusu.
Hujambo lakiniii? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umeshapewa nini cha kufanya kila la heri urejeshe mrejesho baada miezi 6.....
 
Pole sana mkuu.
Huko kwenye uvuvi ni kipato gani hicho kidogo kisichotosheleza??

Kwanini usijibane hukohuko utoke na mtaji, kwa dunia ya sasa usijipush mwenyewe kujikwamua basi usitegemee kuna mtu atakuwazia hata ndguzo/wazazi ukifika umri fulani unaachwa ujitegemee.

Mtu hakushiki mkono kama hanufaiki na wewe. Jibane uanze biashara.

Humu jf kuna nyuzi nyingi mno za biashara mbalimbali hata za hiyo laki moja unayoidharau.

Kikubwa ni taarifa sahihi, huo ndo mtaji wako. Tumia smartphone yako kutafuta taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom