Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
π€ππKwani nani alikua anakuhitaji? Wee ndo mwenye uzi? Kihere here chako tyuuh, kudandia visivyokuhusu.
Hujambo lakiniii? ππππππ
π€ππKwani nani alikua anakuhitaji? Wee ndo mwenye uzi? Kihere here chako tyuuh, kudandia visivyokuhusu.
Hujambo lakiniii? ππππππ
πππππ€ππ
Mmmh jaman nilipwe mshahara kwa kuchezea kishimo unyoya!Naomba uwe basha wangu, nikuleee.
Yaan uwe marioo wangu, km uko serious lakini.
ππππππ
Kwa huku baharini tunapata wastani wa elfu 15 kwa siku but huwezi frequently,kazi zinachosha sana zilePole sana mkuu.
Huko kwenye uvuvi ni kipato gani hicho kidogo kisichotosheleza??
Kwanini usijibane hukohuko utoke na mtaji, kwa dunia ya sasa usijipush mwenyewe kujikwamua basi usitegemee kuna mtu atakuwazia hata ndguzo/wazazi ukifika umri fulani unaachwa ujitegemee.
Mtu hakushiki mkono kama hanufaiki na wewe. Jibane uanze biashara.
Humu jf kuna nyuzi nyingi mno za biashara mbalimbali hata za hiyo laki moja unayoidharau.
Kikubwa ni taarifa sahihi, huo ndo mtaji wako. Tumia smartphone yako kutafuta taarifa sahihi.