cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mshahara, posho, marupu rupu, na mengineyo uhakika kabisaakazi kwake uwe unamlipa na mshahara kabisa
Muhimu awe anajiweza kitandanii, ππππππ
Mshahara, posho, marupu rupu, na mengineyo uhakika kabisaakazi kwake uwe unamlipa na mshahara kabisa
Kibua kilo moja ni $500Vizuri sana mkuu kazi umepata kumbe na mvuvi hodari na unawajua mpaka samaki na bei zao, sasa nitajie Samaki mwenye bei juu kumzidi huyo anaitwaje?
Aisee,...kujiweza k vip boss.Mshahara, posho, marupu rupu, na mengineyo uhakika kabisaa
Muhimu awe anajiweza kitandanii, ππππππ
Yeye muhitaji wa kazi anajua. Wee ka kwa kutulia.Aisee,...kujiweza k vip boss.
Kwanini mpaka ajute kuacha chuo wakati mpaka walio maliza chuo asilimia kubwa Wanapitia huu msoto mkuuAcha kuchagua kazi kijana, jitume Kwa bidii, endelea kusoma, elimu Haina mwisho, self teaching....
Heshima iwe jambo lako la msingi, acha kuvuta bangi, acha kuvuta sigara, acha kulewa, jitume, ni kweli mwanaume atakula Kwa jasho sio uzushi, mpaka ujute ni kwanini uliacha chuo, sio rahisi.....maisha ni magumu kijana, pambana pia kuwa mwaminifu na msikivu utaonekana ushikwe mkono....
Fight nihilism, pia life is progress, achana na story za waliofanikiwa pambana na uhalisia
Kijana akikataa kazi wengine tupo kiongozi na tunatuma cv popote ulipo πYeye muhitaji wa kazi anajua. Wee ka kwa kutulia.
πππππ
πππππ napenda kusaidia wahitaji. Wee sio ndo maana hujaomba.Kijana akikataa kazi wengine tupo kiongozi na tunatuma cv popote ulipo π
Si wengine wahitaji wa kazi kama hizi ila hatukujua kuwa Kuna fursaπππππ napenda kusaidia wahitaji. Wee sio ndo maana hujaomba.
Akikataaa bas atapata kwingine na kazi nyingine atakayo. πππππ
Vijana mmechangamkaa sanaa eeeh?! Hamtaki kupitwa na fursaa? LolSi wengine wahitaji wa kazi kama hizi ila hatukujua kuwa Kuna fursa
Plz madam akishindwa kaz naomba jina langu lipite π
Yaani hapo sijaingia Moja kwa Moja ili nisimbanie rizki kijana mwenzangu ila kama akikataa me nipo ukisema tukutane popote hata huko kwenu chap tu nakuja πVijana mmechangamkaa sanaa eeeh?! Hamtaki kupitwa na fursaa? Lol
πππππ
Wewe utamuharibu kijana bado mdogo.....Naomba uwe basha wangu, nikuleee.
Yaan uwe marioo wangu, km uko serious lakini.
ππππππ
30yrs ni mdogo? Si zee lenye nywele kila mahali jamani.Wewe utamuharibu kijana bado mdogo.....
Wee huogopiiii? πππππYaani hapo sijaingia Moja kwa Moja ili nisimbanie rizki kijana mwenzangu ila kama akikataa me nipo ukisema tukutane popote hata huko kwenu chap tu nakuja π
Hakuna kuwa na wasiwasi katika hili nitaacha hata usia kuwa nimekuja kwako we usiwaze πWee huogopiiii? πππππ
Hahaha au Mim nimezeekq,30yrs ni mdogo? Si zee lenye nywele kila mahali jamani.
ππππππ
Wee umezeeka bhana, 1995 ni mbabu wenye wajukuu kabisaa.Hahaha au Mim nimezeekq,
Yaan 1995 Naona ni mdogo saana