JodariHapo baharini kuna yule Samaki anaanzia 500,000/- bei yake unamjua?
Vizuri sana mkuu kazi umepata kumbe na mvuvi hodari na unawajua mpaka samaki na bei zao, sasa nitajie Samaki mwenye bei juu kumzidi huyo anaitwaje?Jodari
Mmmh mwenye kumzidi bei jodari? labda taa wakubwa kabisa waleVizuri sana mkuu kazi umepata kumbe na mvuvi hodari na unawajua mpaka samaki na bei zao, sasa nitajie Samaki mwenye bei juu kumzidi huyo anaitwaje?
Samsung A series ya 280000Unatumia simu gani mkuu?
Uza hiyo simu upate mtaji wa kuanzia.Samsung A series ya 280000
Hata nikiuza hatazidi laki na nusu coz tiyari ni used sana, sasa ni biashara gani utafanya kwa mtaji wa laki moja?Uza hiyo simu upate mtaji wa kuanzia.
Acha uchizi..Uza hiyo simu upate mtaji wa kuanzia.
Umeandika kama umekalia mti nyama.Uza hiyo simu upate mtaji wa kuanzia.
Kwani ni yeye ndie aliesababisha usiwe na kazi? Makasiriko ya nini?Umeandika kama umekalia mti nyama.
Mtaje mwingine huyo badoMmmh mwenye kumzidi bei jodari? labda taa wakubwa kabisa wale
Acha kiherehere kama huna mishe ya kumpaMtaje mwingine huyo bado
Kwani mkuu una shida gani na mimi maana nakuona unanifuata nyuma nyuma km vitego vya mkasi unanidai?Acha kiherehere kama huna mishe ya kumpa
Toka wapi kuelekea wapi?Kwani mkuu una shida gani na mimi maana nakuona unanifuata nyuma nyuma km vitego vya mkasi unanidai?
Siku hizi itabidi nipunguze kusocialize na watoto wa 2000. Sikujibu tena.Toka wapi kuelekea wapi?
kazi kwake uwe unamlipa na mshahara kabisaNaomba uwe basha wangu, nikuleee.
Yaan uwe marioo wangu, km uko serious lakini.
ππππππ