Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Kwanza acha kujipitisha ili utongozwe huko ni kutojiamini. Pia achana nafikra potovu maana ujionavyo nafsini mwako ndivyo ulivyo.

Badili muonekano wako, jipende wewe kwanza.
 
Tumia chumvi ya mawe kuogea
 
Dear inategemea na ww umejiweka vp baada ya kuachana na boyfriend wako.
Hao wote ambao Mungu anakuepusha nao wakati huu si sahihi kwako unaandaliwa kilicho chema.
Usiache kumuomba Mungu.
 
Id ya kike maandishi ya kiume, uliona wapi mwanaume anatongozwa ?
 
Lipia tangazo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana hata huyo jamaa alikusaidia tu.... Hebu kapicha kwanza [emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu hapa lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…