kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Mimi na Wapare ni kaskazini na kusiniWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
aisee sijawahi kuexperience hicho kitu rafiki yangu,, ila naweza tu kumshauri atulie ale vizuri, avae vizuri apendeze ajiamini afanye mambo yake watakuja wenyewe...asije akaamua kutongoza yeye kitakachompata atakuja asimulie🙌Leejay49 njoo tusaidie kujibu hili swali[emoji23]
sioni shida ya mwanamke kutongoza mbona.....aisee sijawahi kuexperience hicho kitu rafiki yangu,, ila naweza tu kumshauri atulie ale vizuri, avae vizuri apendeze ajiamini afanye mambo yake watakuja wenyewe...asije akaamua kutongoza yeye kitakachompata atakuja asimulie🙌
mmh hiyo kitu hatari sana, alafu hamkataagi sijui kwaninisioni shida ya mwanamke kutongoza mbona.....
AfadhaliKaa kwa kutulia mamy tunaopenda wafupi tupo.
sasa si ndo vizuri....mmh hiyo kitu hatari sana, alafu hamkataagi sijui kwanini
On the between kuna mstari mwembaaaamba sana unaonekana kwenye maandishi yakeUmejuaje ni dume[emoji23]
asa utakuta anakubaliwa tu analiwa na kuachwa tena, huoni atajihisi ana gundu juu gundusasa si ndo vizuri....
kwani hata akitongozwa si ataliwa na kuachwa vilevile??asa utakuta anakubaliwa tu analiwa na kuachwa tena, huoni atajihisi ana gundu juu gundu
ila ya kuachwa na wewe ndo ulimtongoza inauma saana😔, unaweza kutamani hata kujiua ukifikiria labda aliwaambia na washkaji kama me ndo nilimtokea wee, atulie tu asubiri bahati yake, ana umri gani Kwani??kwani hata akitongozwa si ataliwa na kuachwa vilevile??
naona ameanza kukuvutia sio 😅🙌Huu uzi wa kishirikina.
waschana mna drama sana 😂ila ya kuachwa na wewe ndo ulimtongoza inauma saana😔, unaweza kutamani hata kujiua ukifikiria labda aliwaambia na washkaji kama me ndo nilimtokea wee, atulie tu asubiri bahati yake, ana umri gani Kwani??
mzee nakuona kwenye ubora wako😂Pole binti yangu. Sasa fanya kitu kimoja, njoo PM tuyajenge.
kwanini sasa😅waschana mna drama sana 😂
[emoji23][emoji23]Hebu picha hata pm tuone shida iko wapi, mimi sio mchawi ila wewe ni mfupi
Hauna gundu lolote, hali ya maisha tu imewabana watu hawana fillings za ngono.Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.