Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Msangi jina la kipare kabisa...mbona nilisikia mabinti wa kipare hawana tabia za kutumia dawa za mvuto
 
Hahahaaaaa.... Ko wewe unanikataa kwa staili ya kunisukumizia kwake😜😜
Huachi vituko vyako 😄😄😄😄😄 yaani nimekumiss muda sijakuona jukwaa lolote. Msaidie mrembo, atoe gundu ajione nayeye ni mwanamke kamili.
Japo hana gundu lolote ni mawazo yake tu. Haya Exy Karibu lunch ...
 
  • Nzuri
Reactions: Exy
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Njoo nikupe dawa yangu ya mvuto
 
tako lipo?
 
Huachi vituko vyako 😄😄😄😄😄 yaani nimekumiss muda sijakuona jukwaa lolote. Msaidie mrembo, atoe gundu ajione nayeye ni mwanamke kamili.
Japo hana gundu lolote ni mawazo yake tu. Haya Exy Karibu lunch ...
Mfungo ulinifunga!!, Asante Sana la mama.
 
Back
Top Bottom