Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Uzuri anaendaga nao sawaππππ Wizzy hii week wanamtafuta sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri anaendaga nao sawaππππ Wizzy hii week wanamtafuta sana
Chuga kama Chuga oyeeeeπππNaanzaje kumuacha mpenzi wa maisha yangu jamani? Wewe unajua vile nampenda chugga man πππ
Eee we kiboko πππDada nitake radhii Mimi ni Miongoni mwa Vijana wachache tuliochukua dhamira ya kuieneza Injiri kutoka mioyoni mwetu mpk Kwa wenzetu. Tafuta watu wa kuwaita wa mataifa .?
Mfano Kdg tu hata Yudah Eskalliot alipotaka kumuuza Yesu hakutumia maneno kabsa alienda na kumbusu hbr ikaishia. Hivyo ndy Wana wa Mungu tulivyo Jibu baya alitakiwi kulembwa?
Hakii hatutaki jua sisiii vya kutambulishwa leo huyu kesho yulee hatrutrakiiiiii tumegomaaaa tunamtambua Kantriiiiii tyuuuuu!!π€ !πππ Wizzy aliwapa nini ndugu zangu?
Anawapatia πππUzuri anaendaga nao sawa
Usije kutoroka na michango ukaenda kula Bata na G ππππMuhasibu wa kamatii nipo winja winja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ we udugu usinichekesheHakii hatutaki jua sisiii vya kutambulishwa leo huyu kesho yulee hatrutrakiiiiiiπ€ !
MnoooAnawapatia πππ
Huyo tapeli chap chap kawahi kamati ya fedha πππUsije kutoroka na michango ukaenda kula Bata na G ππππ
OyeeeeeeeChuga kama Chuga oyeeeeπππ
Itapendeza ukimheshimisha kwa njia hiyoπ..Itabidi nijiite official Kantry wife πππ
ππTapeli kweli huyu mtoto kawahi kamati ya fedha huyu ya mapambo akimbie na maua tuoneππ@cocasticHuyo tapeli chap chap kawahi kamati ya fedha πππ
Sasa ya nini nikutie Moyo wakati haikupaswa kuwa hivyo negative reply ni negative tu hata uiweke Vipi? Nikupoteza muda. Soma visa na mikasa ya Bible utagundua majibu mabaya yapo Kwa kifupi Sana?Eee we kiboko [emoji119][emoji119][emoji119]
Majibu makali unaweza kuua mtu? Nyie hamtakiwi kukaa na wagonjwa wanaokaribia kukata roho
NITACHEKA SANAAA...Mtumishi awe makini nao atapigwa na kitu kizito πππ
Asije kusema hatujamwambia πππNITACHEKA SANAAA...
Muonee hata huruma kama yesu alivotuonea huruma wanaaadamuπππ Kumekucha
Hivi makamanda wenzangu mbona hamnipendi? Au ndio mko busy na kuipambania katiba mpya?
Kila siku mimi napendwa na vijana wa Mama Kizimkazi!!! Why? Makamanda mnaniangusha ππππ
CCM wananibeba hivyo ooh!!!
Kwako baba mtumishi Tlaatlaah
Nashukuru kwa kunipenda ingawa sijui umenipenda na umevutiwa na kitu gani na mimi? Sio kesi hata mimi NAKUPENDA km Yesu alivyolipenda kanisa. UPENDO WA AGAPE
Mahusiano na ndoa ni jambo jema, hata vitabu vya Mungu vinatuasa mtu mume na mtu mke waungane wawe mwili mmoja ili waijaze dunia. Ndiomana hata Mungu alivyomuumba Adam hakuona sahihi akamletea msaidizi ambaye ni Hawa ( Ambao ndio sisi kina Lamomy)
Ahsante kwa upendo na mapenzi yako makubwa uliyoonyesha kwangu.
Najua mpaka kuamua kuja na uzi km huu ulichukua muda mrefu kujipanga na kujiandaa hukukurupuka!!! Kuna kitu kilikusukuma moyoni mwako. π
Sasa baba mtumishi pamoja na yote hayo mwenzio mimi mpenzi wa mtu na mpenzi wangu yupo humu humu tena mwana CCM mwenzio. Nampenda kuliko maelezo.
Sina haja ya kumficha anaitwa Countrywide mwenyewe nimezoea kumuita Kantry nampenda chugga man wangu. Samahani kwa kusema haya.
Mwisho nikuombe usikate tamaa kutafuta yule ambaye atakuwa chaguo lako na utakayempenda kwa dhati ya moyo.
Nasikia uchungu kukujibu hivi lakini ndio hivyo siwezi kumuacha nimpendaye kwaajiri ya kumfurahisha mtu mwingine.
Damu ya Yesu ikulinde baba mtumishi.
Aimen π
ππππππ!ππππ we udugu usinichekeshe
Ila sir midabwada kanichekesha
πππ kadi lazima tukupe wewe tulia na uoneItapendeza ukimheshimisha kwa njia hiyoπ..
Mkinisahau kwa wedding mtanisababishia ban JFπ€£