Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😂😂😂 Nimemtoa wapi kwani nina mahusiano naye?Umemtoa wapi huyu?
Huyu tunabishanaga kwenye jukwaa la siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Nimemtoa wapi kwani nina mahusiano naye?Umemtoa wapi huyu?
Hamna bwana,we nabii wa mchongo🤣🤣🤣🤣 Furahini kwa upendo..
Imeandikwa...
furahahini katika bwana tena nasema furahini....
Yani wewe mchonganishi 😂😂😂Anamset bibie madai yake😂😂
🤣🤣🤣Hebu tuambie Kweli umemtoa wapi maana imekuwa chighafla sana😂😂😂 Nimemtoa wapi kwani nina mahusiano naye?
Huyu tunabishanaga kwenye jukwaa la siasa
Thanks mkuu on behalf 🙏ni kwa msaada wa Roho Mtakatifu, bila hivyo si rahisi Countrywide Hongera sana na Mungu akubariki sana Mkuu
Sijampenda huyo nabii wako wa uongo😂😂😂😂😂Yani wewe mchonganishi 😂😂😂
Unachochea moto
Hapapoii
Acha utotoni kwa msaada wa Roho Mtakatifu bila hivyo si rahisi
Una nia gani na mimi? Nikivunjwa na Kantri MOI tutakuwa wote kuniuguza nakukumbusha dada 😂😂😂🤣🤣🤣Hebu tuambie Kweli umemtoa wapi maana imekuwa chighafla sana
Okay[emoji23][emoji23][emoji23] Nimemtoa wapi kwani nina mahusiano naye?
Huyu tunabishanaga kwenye jukwaa la siasa
Chuga man achangamke si unaona wadau wapo serious wameelewa mkingaWewe utakuwa matron? 😂😂😂
Hivi bff umesahau km tumechukuliwa na watu wa chugga?
Mhhh Hana tabia hiziUnaweza kukuta huyo Lamomy ana jitekenya mwenyewe na kucheka hahahaha jf hii
😘😘😘😍😍Okay
🤣🤣🤣🤣🤣 akuuuu mie sitaki natafuta mwenyewe nikimpata nakuja na nyuzi kama tano hiviMleta Uzi Samahani Nina swali,Ina maana hujui kama Lamomy ni mke halali wa Countrywide au umeamua kujizima data?mchukue shosti yake anaitwa Missy Gf ndio penzi lake linayumbayumba😅
Nliacha tu nlivoona wale wacomoro wanachukua mizigo ofisini kwako, nkaona kama upo bize bizeSi ungekuja kunipa hi sasa jomoni 😂😂😂