Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

Phobia

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,156
Reaction score
1,819
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.

Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.

Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee
 
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani

Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie

Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia [emoji32] sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku!mniombee
Wewe una onekana una laana ya wazazi kwa 27 unanunua dada poa, neenda ukatambike kwanza ili wazazi wako wakusamehe
 
Usitafute mke wakati wa kutafuta maisha pambana kwanza miaka mitatu hii adi 30
 
Kwa wewe It's late
but not too late

Ila ungekuwa ke basi too late

Kwani ulikuwa unasomaga??

Màana madokta na watu wa masters ni kawaida
 
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.

Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.

Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee
Kamwe usitafute peace of mind kwa mwanamke, Utaishia kupata pieces of mind.
Kuwa mpole, hakuna anayekukimbiza.
 
Mkuu unaweza pia kuwa na mkee ndio ukazeeka haraka na kufa mapema , tuliza akili fanya jambo kutokea ndani mwako kwa utulivu mkubwa, ndio utapata jibu sahihi kutokea ndani yko
 
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.

Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.

Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee

We bado mdogo, ila kwa tabia ya dada poa na mitazamo yako ni hatari sana, rudi kwenye misingi ya Imanj
 
Back
Top Bottom