Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.
Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.
Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee