Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #61
Wewe akili Yako fupi Sana hapa sijaleta habari za kushauriwa kuliwa kwani Mimi sijui kama Kuna kuliwa wabongo kichwani asilimia nyingi ubongo haufanyo kazi kama wewe Mimi naomba ushauri wakusonga mbele wewe unaniambia utaliwa hivi unaakili kweliUkitaka kupima akili ya mtu angalia majibu yake.
Umeleta uzi kuuliza kwakuwa hujui ufanye nini. Umejibiwa unasema "NAJUA NINACHOKIFANYA".
Sasa hapo tushike kipi?
Hautaliwa tu. Utatafunwa kumbafuWewe akili Yako fupi Sana hapa sijaleta habari za kushauriwa kuliwa kwani Mimi sijui kama Kuna kuliwa wabongo kichwani asilimia nyingi ubongo haufanyo kazi kama wewe
Umasikini unakusumbua Toka hapo Kwa shemeji YakoHautaliwa tu. Utatafunwa kumbafu
Basi tuachane nayo endelea na mambo mengineNi maformula yanayohusisha kingereza rafiki na Mimi na hiyo lugha hatuelewani naogopa kuanza kuandika hapa mwisho nichapie watu wanicheke ndiyo maana nikitaka uangalie wewe practically Ila kwa kuandika naogopa kuchapia bwana ,Nina mke humu humu ndugu
Treni huwa zinatoa ila wengi wanawekaga dau dogo.Kuna kijana tamaa ilimtajirisha. Anawekaga yale ya makaratasi marefu kwa elfu moja. Sasa hivi ana nyumba nzuri mno imetokana na betting. Ila huwa anafanya kama mchezo maana ana kazi yake rasmi. Kijana mmoja smart.
Pamoja sanaKila la kheri mkuu
Inaitwa Treni? Hahaha. Jina limeendana sana maana ule mkaratasi huwa ni mrefu.Treni huwa zinatoa ila wengi wanawekaga dau dogo.
Ingekuwa rahisi hivyo kampuni za betting zingefilisikaNunua correct score zile naonaga watu wanapost million 8 wengine 6. Mfumo wao ni kuwa unanunua mkeka 160-180 kabla haujaanza then unatupia kati ya 20,000 mpaka 50,000 kwa mtaji huo ukipiga mara odds 200+ ni hela ndefu sana.
Very simple. Tafuta odds 20 tu, tupia mzigo wote utapata hizo njuru ndani ya muda mfupi tu mkuu. Unakwama wapi?Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau mkiuanganisha mtanikwaza sana.
Aiseee lakn kwl unandoto kubwa ya mawazo lakn mkuu kiuwalisia iv vitu vya bahat nasbu baadae usiache kutuambia unayo godoro mpya unauza na ktanda maana unaenda kujutaWadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau mkiuanganisha mtanikwaza sana.
Ki uafisa ubashiri tunaita treni 😂Inaitwa Treni? Hahaha. Jina limeendana sana maana ule mkaratasi huwa ni mrefu.
Katika hiyo laki 5, atenge 10,000 *1.1^⁹⁰=53,000,000Aiseee lakn kwl unandoto kubwa ya mawazo lakn mkuu kiuwalisia iv vitu vya bahat nasbu baadae usiache kutuambia unayo godoro mpya unauza na ktanda maana unaenda kujuta
Katika hiyo laki 5, atenge 10,000 *1.1^⁹⁰=53,000,000
Hata mwakani hafiki atakua ameshatengeneza hiyo hela
Sijakuelewa mkuuKatika hiyo laki 5, atenge 10,000 *1.1^⁹⁰=53,000,000
Hata mwakani hafiki atakua ameshatengeneza hiyo hela
Nchi imekuwa ngumu sana hii, betting nayo imekuwa uwekezaji sasa.Yani hela uliyopanga kuchezea kamari unaita mtaji?