Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

Ukitaka kupima akili ya mtu angalia majibu yake.

Umeleta uzi kuuliza kwakuwa hujui ufanye nini. Umejibiwa unasema "NAJUA NINACHOKIFANYA".

Sasa hapo tushike kipi?
Wewe akili Yako fupi Sana hapa sijaleta habari za kushauriwa kuliwa kwani Mimi sijui kama Kuna kuliwa wabongo kichwani asilimia nyingi ubongo haufanyo kazi kama wewe Mimi naomba ushauri wakusonga mbele wewe unaniambia utaliwa hivi unaakili kweli
 
Ni maformula yanayohusisha kingereza rafiki na Mimi na hiyo lugha hatuelewani naogopa kuanza kuandika hapa mwisho nichapie watu wanicheke ndiyo maana nikitaka uangalie wewe practically Ila kwa kuandika naogopa kuchapia bwana ,Nina mke humu humu ndugu
Basi tuachane nayo endelea na mambo mengine
 
Kuna kijana tamaa ilimtajirisha. Anawekaga yale ya makaratasi marefu kwa elfu moja. Sasa hivi ana nyumba nzuri mno imetokana na betting. Ila huwa anafanya kama mchezo maana ana kazi yake rasmi. Kijana mmoja smart.
Treni huwa zinatoa ila wengi wanawekaga dau dogo.
 
Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau mkiuanganisha mtanikwaza sana.
Very simple. Tafuta odds 20 tu, tupia mzigo wote utapata hizo njuru ndani ya muda mfupi tu mkuu. Unakwama wapi?
 
Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani, nipo serious wadau naombeni ushauri wenu Mods naomba huu Uzi usiunganishwe nataka maoni ya wadau mkiuanganisha mtanikwaza sana.
Aiseee lakn kwl unandoto kubwa ya mawazo lakn mkuu kiuwalisia iv vitu vya bahat nasbu baadae usiache kutuambia unayo godoro mpya unauza na ktanda maana unaenda kujuta
 
Aiseee lakn kwl unandoto kubwa ya mawazo lakn mkuu kiuwalisia iv vitu vya bahat nasbu baadae usiache kutuambia unayo godoro mpya unauza na ktanda maana unaenda kujuta
Katika hiyo laki 5, atenge 10,000 *1.1^⁹⁰=53,000,000
Hata mwakani hafiki atakua ameshatengeneza hiyo hela
 
Safari imeanza hapo. Wale wa live
 
Attachments

  • Screenshot_20240731-110956.png
    Screenshot_20240731-110956.png
    78.8 KB · Views: 10
Kila weekend upate odds 2.

Kwa mwezi odds 8

Baada ya miezi mi 3 una Milioni 10.

Hizo ni hesabu za kwenye makaratasi, uki win mfulululizo ndo unafanikiwa.
 
ulishawahi kuona mtaji unakuzwa kwa njia ya KAMARI?
ulishawahi kusikia mtu ana tajirika kwa njia ya KAMARI?
Ulishawahi kusikia watu waliofilisika kwa kucheza kamari?
Nina mifano mingi sana ya matajiri waliofilisika sasa hata pakulala tabu kwa kucheza kamari
KUTUMIA NENO BETTING NI KUJIFARIJI HIYO NI KAMARI KAMA NYINGINE TU
 
Back
Top Bottom