Nina mashaka huyu mwanaume hana uwezo wa kunipa mimba

Ko kutolewa tu mahari ndo ukaamua uanze kutafuta mimba?huwa mna haraka ya kuwahi wapi?
Na kwa nini ukimbilie kusema hazai,je kuwa na mtoto ndo kusema huwezi tena kupata changamoto ya kupata mimba ingine...
Fursa! Anajua mwamba ana maokoto ya kutosha kwahiyo anaogopa jamaa asije akapeperuka hivyo anataka kumdhibiti mapema
 
And the lasting burdens of pregnancy aren't just physical, they're economic. Being pregnant is a task, one that requires significant investments of time and money that many people simply do not have.
 
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari,...
yaani wewe ni lisingo maza afu unachaguachagua tena? hujui kuwa kuwa tu single mother ni ulemavu tayari unao na atakayekuokota amekusaidia tu.
 
Acha kuteseka !! Nitafute nikupe mimba, ninazo nyingi, sijui unahitaji ngapi ?!
 
Siri imevuja...
 
Mwanaume ana stress za kukosa hata mia mbovu bado anamdai mimba, haya mambo jamani acheni tu.
 
Amenikuta na mtoto mmoja lakini tangu niwe na mahusiano na uyu mwanaume wa sasa mimba sikamati ameshanitambulisha kwao mahali kila kitu tayari, situmii kizuizi chochote tunakutana...
Endelea kuwa cold water ukihangaika utachemshwa
 
Pole sana mamy nendeni hospitali mkapate uhakika zaidi!

Mungu afanikishe hitaji la moyo wako!
 
Yaani mimi mpaka nimetoa mahari ujue nimet*mba mtoto wa mtu mpaka amechakaa..... Hao watoto niliomzalisha wakiolewa ntakua nimepata mahari ya kupeleka kwao..
 

unaharaka sana

kabla ya kuacha majira kipindi kile, umeacha lini kutumia p2?

status ya maisha yake ipoje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…