Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

Ndio hako kakundi kanaongoza nchi maza kashapangiwa majukumu yake ndio haya tuyaonayo,.
 
chief hangaya ana matatizo she is under remote control,unfortunately our democracy is running beyond repair
 
Yumkini inaongozwa na wahuni, washauri lazima wawe na weledi.
 
Hujawahi kuwa na akili inayotosha kibaba cha pishi moja
Tunapumua baada ya kuonewa kwa miaka 5.

Mama anawakomesha mataga na sukuma gang.

Mama anaupiga mwingi.

Lile zee katili bora limekufa.

Mama bora anatuchapa huku anatugeia na soda.

Mama anarudisha hela mtaani ili sisi mabavicha tuwe tunaziokota.

Pole pole na Bashiru wanakiona cha moto.
 
Tujikumbushe makala iliyoandaliwa na gazeti la RAIA MWEMA katika mahojiano ya CHACHA MATIKO aliyewahi kuwa Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam,alisababisha mgomo ikafika hatua mbaya zaidi ya yy kutekwa na watu wasiojulikana apa ndipo penye namna serikali inavyomilikiwa mtalalamika sana lakini hata ukiwekwa ww kuwa rais utafanya kile wanachokitaka waliokuweka huku ukiumia moyoni na huna cha kufanya.
 
Ndungulile anaushawishi gani mkuu!?
 
You really think a crown gives you power?[emoji848]
Jibu ni NO,je power inapatikana wapi
1.Katika nchi zinazoendelea pesa inaweza kukupa power ukanunua wapambe ukanunua media n.k
2.Unaweza pata power kupitia public(wananchi) aina hii huwakuta watu ambao ni wanaharakati pia maumivu yake sio ya kitoto,
Kama kuna mtu anamlaumu sana samia nadhani hajui nini kiko nyuma ya mamlaka without power.
 
Una maana ya Guinea ya west Africa?πŸ€”πŸ§πŸ˜²
 

Bila kulitolea uvivu kundi hili tungali na safari ndefu sana.

Yaonesha mama kafika bei:

"Kakubali kumtumikia kafiri ili apate mradi wake."

Yaonesha lile genge liko pale pale na ndilo lililoshika hatamu.

Yawezekana lile dokezo halikufua dafu.
 
Kuna kipindi JK alishawahi sema! Tukiyakamata Mafisadi,Nchi itawaka moto! Huyu Mzee alikua anajua Michezo ya kihuni,Michezo ya watoto wa town! Kina Rostam,Tamil na kina Karamagi!
Ogopa sana nguvu ya pesa kuna watu wana pesa ila hawatoki nje na kujitangaza ila michezo wanayoifanya ndani ya system ina athari kubwa sana kwa wananchi wa kawaida kwao ni kama wanacheza game kwenye simu na wanaona ni raha sana.
 
Hasa Mwigulu. Hivi hii Nchi hii watu walivyofunga mikanda ndio ya kuweka Tozo mpaka kwenye kope?.
 
Ongeza sauti Baba πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜
 
Huyu wa kuitwa 'raisi' sio raisi wa kidemokrasia kwamba ni chaguo la wananchi ila ni pandikizo la kikundi fulani fulani kilichopo ndani ya system na ndicho kinachoendesha serikali kwa sasa kwa mgongo wa rais. Haina afya hata kidogo pia hakuna kilicho ndani kikashindwa kuibuka nje. Acha muda uongee.
 
Hebu imagine ' raisi hana hata kujiamini, kila mara kauli ni ''naombeni mkalifanyie kazi'' je, ni nani wa kufanyia/kutatua matatizo ya wananchi kama sio yeye mwenye mamlaka yote? Aagize jambo na litendeke chap. Sasa ni nani huyu chifu huwa anawaomba wamfanyie kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…