Baunsa anatumia nguvu tu ya mwili wake bila akili wala mbinu na hata mafunzo yoyote ya silaha

Ila komandoo anatumia mbinu, akili na nguvu kidogo na mafunzo ya kutumia silaha za kivita hata za kijadi kama mapanga, sime, visu, mishale n.k mpaka karate, judo, wushu makomandoo wanaweza
 
Kila ubaya utalipwa
 
Hamna kesi hapo bali niuharibifu wa national resources - nchi maskini kama hii kufanya mambo ya hovyo kama haya yanayolighalimu taifa letu mamiliom ya fedha kisa ati kumkomoa Mbowe na familia yake sababu kubwa anaisumbua CCM
 
Shida NI kwamba watakubali waonekane NI wasaliti machoni kwa mbowe?
 
Kufuatia kesi inavyoendelea na baada ya shahidi muhimu kujichanganya ni wazi hii kesi ni aibu pasipo shaka.. kwa sababu zifuatazo;

Shahidi muhimu amethbitisha hana ukweli ndani yake kwani ameonekana kujichanganya mwenyewe na kushindwa kuaandaa movie hii vizur. Mf. suala la miamala za simu ndie alikuwa anashawish kutumiķa namba tofaut.

Kukosa ushahidi mana hakuna popote palipoonyesha Mh. Mbowe akipanga uovu wa ugaidi ama kumdhuru mtu.. mf. Pangekua hata na recorded audio ingekua afadhal halafu hana tarifa sahihi za maisha ya Mbowe..anajitungia tu mambo ooh mara homeboy

Kwa ufupi inaonekana Mh. Mbowe alikua anajilinda dhidi ya hila za Sabaya na ikumbukwe waliwahi pigwa mawe kipindi cha uchaguz ulee

Sasa basi kiongozi unaposhindwa kuwa mkweli unapoteza imani kwa wananchi
Kwa vyovyote vile kesi hii ni jipu kwa walioiandaa
 
has ha ha ha ,titili kakala, salakasi salakasi...siti ya mbele naendelea kutazama hii movie.pembeni peps bariiiidi na karanga za kukaanga!! mpaka last season!!
 
Kwenye ethics Kuna kitu kinaitwa ramification, kufanya uhalifu kwa kigezo cha uchunguzi. Hii haikubaliki, na ikitokea ikafanya hivyo huna tofauti na wahalifu ulishirikiana nao kutenda uhalifu. Urio anaangukia hapa, alishiriki mipango ugaidi akiwa anajua kabisa madhara ya ugaidi huku akijivika koti ya upelelezi ilhali yeye mwenyewe sio mpelelezi by profession. Kiujumla kesi imeiacha jeshi la polisi na vyombo vingine vya ulinzi uchi. Hiki anachoelezea Urio kwamba ndio mbinu alipewa na wapelelezi kama namna ya kumkamata Mbowe na ugaidi wake ni upuuzi mtupu. Even a kindergarten kid can't amount to this stupidity advice!
 
Washauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
 
Nina hamu Sana kuwasikia mashahidi Hawa wawili wa upande wa utetezi!
... Mbowe
... Sirro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…