Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Pozi lilikaukaDenis Urio leo kuna mahali alibanwa kwenye cross examination na wakili Nashon akasema mwenyewe Mbowe sio gaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pozi lilikaukaDenis Urio leo kuna mahali alibanwa kwenye cross examination na wakili Nashon akasema mwenyewe Mbowe sio gaidi.
Baunsa anatumia nguvu tu ya mwili wake bila akili wala mbinu na hata mafunzo yoyote ya silahaNa kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas?
Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishirini?
Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Kila ubaya utalipwaTunavyozidi kuweka masikio yetu mahakamani, ni dhahiri kwamba Ndg. Kingai, Boaz, Mahita, Goodluck, Jumanne, Urio na wahuni wengine walishirikiana kufanya uhalifu mkubwa unaitia serikali ya Tanzania doa na hasara kubwa kutewngeneza kesi isiyo na kichwa wala miguu.
Shahidi Denis Urio ameonyesha wazi kwamba, hii kesi ni ya hovyo kabisa na inabidi iishe. Watanzania wanaumizwa sana kwani fedha ambazo zingetumika kuwaletea maendeleo, inatumika kutafuta ughaidi usiokuwepo. Hawa watu wakamatwe kwa matumizi mabaya ya madaraki !
View attachment 2097567
View attachment 2097568
View attachment 2097569View attachment 2097570View attachment 2097571View attachment 2097572
Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Malizia Rais wa mchongo tu!Kesi ya Michongo
Mashtaka ya Michongo
Mashahidi wa Michongo
Majaji wa Michongo
Mahakama za Michongo
Kifupi kila kitu Michongo
Kubwa. Zaidi ni jinsi home boy alivyowaunga wale makomando wakafanye uhalifu haiingii akilini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mana yeye alipewa idea nakudai akatafuta watu wakafanye hiyo kazi sasa hao makomando kosa lao liko wapi? Na Kama asingewatafuta ina maana wasingekuwa na kosa lolote? Maswali ni mengi muda mchache ngoja tuone wataalamu wa sheria waje kufanya kazi yao ila kimsingi inamchafua mama kwenye juhudi zake njema zakukwamua taifa
KitaumanaNina hamu Sana kuwasikia mashahidi Hawa wawili wa upande wa utetezi!
... Mbowe
... Sirro
Ameharibu SanaYote hiyo ni Mama hataki kusikia Katiba Mpya.