Ni nani ataithibitishia mahakama kuwa aliyekuwa akipigwa na kulia huko Mbweni ni Luteni Urio?
 
Washauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
Tz imegawanyika pande mbili kwenye kesi hii.

Tangia mwanzo mi nilisema kama unavyosema wewe.

Na ninadhani rais alikuwa na nia hiyo kutokana na majibu aliyomjibu Zitto siku ile.

Lakini baada ya "miluzi" mingi ilivyopigwa na wapinzani kwamba hawataki msamaha na hawajamtuma Zitto kuwasemea, nadhani rais alisita.

Cha kushukuru ni kwamba, kesi hii inapelekwa mzobe mzobe, hailali mpaka ifike mwisho ndiyo uzuri wake.

Karibuni itafikia mwisho na ukweli utafahamika tu.
 
Ingewezekana Kama isingekuwa vitu vya kubumba!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
U snich wa Lt Urio umewekwa wazi kwa maswali aliyodondoshewa nahakamani.

Kawa mbaya kwa home boy wake pamoja na staff wenzake, hataaminika tena katika jamii.
Tena kumbe huyu ndiye muasisi wa kadhia hii!
Halafu naona kuna maswali mengi sana kaepushiwa kuulizwa!

Ku mobilize watuhumiwa ina maana alijiaminisha sana kwa Mbowe hadi kufikia kupewa task hatari ya namna hiyo!

Ngoja tusubiri tuuone mwisho wake.
 
Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Nani analeta masikhara kama si nyie na hao wanaombakizia kesi wengine? Watu wazima wanafanya mambo ya kitoto, KIJINGA, aibu na kukera. Cha kusikitisha, kuuma na kuudhi bado wanaendelea tu kudhihirisha ujinga wao bila aibu na kujiona wajaanjaaa na kutuona sisi ni wajinga kama wao
 
hayo ya kuteswa usije ukashangaa yalikuwa ni maigizo.
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia,Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
 
Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Yaani wewe utakuwa muoga hivyo hivyo hata ukiwa kaburini.
 
hayo ya kuteswa usije ukashangaa yalikuwa ni maigizo.
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia,Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
Kwa hiyo mwanajeshi akifukuzwa jeshini bado anakuwa mwanajeshi??
Kwa hiyo Hans Pope hakuwa raia??
 
Urio ametudharaulisha sana! Tena sana! Akiishi ataishi kwa taabu sana!!
 
Hahaahaaa!Mahakama za mitandaoni kazi kweli kweli!
 
Alikuwa na salio jingine lililomwezesha kutoa kiasi hicho cha fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ex-komando, ukomandoo sio cheo ni professional hivyo auondoki kwa mtu kukosa kazi.

Wewe ukiwa daktari ukikosa kazi hutoitwa ex doctor utaendelea kuitwa daktari hivyo hivyo
 
Homeboy alijitengezea fursa ya kupiga hela kirahisi, hakujua kama kitakuja kuumana. Sasa kazi kwake kuchutama.
 
Kwa
Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,

Hata akitoka mwambieni aache kutumia makalio sasa umli umeenda, ni muda sasa wa kutumia akili kumalizia uzee wake.

Hata kama atashinda lakini picha inaonekana alikua na nia ovu ya kuleta vurugu na kumuua sabaya.
 
Kichwa chako kmejaa mavi matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…