Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa
Ebu lione Kingai lenyewe utadhan amphibianView attachment 2097932
Kwa_msiomfahamu_huyu_ndo_Shahidi_wa_Jamhuri_siku_ya_leo_anaitwa_Luteni_Denis_Urio..jpg
 
Ni nani ataithibitishia mahakama kuwa aliyekuwa akipigwa na kulia huko Mbweni ni Luteni Urio?
 
Washauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
Tz imegawanyika pande mbili kwenye kesi hii.

Tangia mwanzo mi nilisema kama unavyosema wewe.

Na ninadhani rais alikuwa na nia hiyo kutokana na majibu aliyomjibu Zitto siku ile.

Lakini baada ya "miluzi" mingi ilivyopigwa na wapinzani kwamba hawataki msamaha na hawajamtuma Zitto kuwasemea, nadhani rais alisita.

Cha kushukuru ni kwamba, kesi hii inapelekwa mzobe mzobe, hailali mpaka ifike mwisho ndiyo uzuri wake.

Karibuni itafikia mwisho na ukweli utafahamika tu.
 
..hiyo mbinu walikuwa nayo isipokuwa nashangaa hawakuitumia.

..njia sahihi ilikuwa ni DCI kumkabidhi Lt.Urio makachero ambao angemlengesha Mbowe nao.

..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.

..washtakiwa wasingepokea simu ya Lt.Urio, ambaye alikuwa mwalimu wao, leo hii wasingekuwa wameingia ktk matatizo haya.
Ingewezekana Kama isingekuwa vitu vya kubumba!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
..hiyo mbinu walikuwa nayo isipokuwa nashangaa hawakuitumia.

..njia sahihi ilikuwa ni DCI kumkabidhi Lt.Urio makachero ambao angemlengesha Mbowe nao.

..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.

..washtakiwa wasingepokea simu ya Lt.Urio, ambaye alikuwa mwalimu wao, leo hii wasingekuwa wameingia ktk matatizo haya.
U snich wa Lt Urio umewekwa wazi kwa maswali aliyodondoshewa nahakamani.

Kawa mbaya kwa home boy wake pamoja na staff wenzake, hataaminika tena katika jamii.
Tena kumbe huyu ndiye muasisi wa kadhia hii!
Halafu naona kuna maswali mengi sana kaepushiwa kuulizwa!

Ku mobilize watuhumiwa ina maana alijiaminisha sana kwa Mbowe hadi kufikia kupewa task hatari ya namna hiyo!

Ngoja tusubiri tuuone mwisho wake.
 
Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Nani analeta masikhara kama si nyie na hao wanaombakizia kesi wengine? Watu wazima wanafanya mambo ya kitoto, KIJINGA, aibu na kukera. Cha kusikitisha, kuuma na kuudhi bado wanaendelea tu kudhihirisha ujinga wao bila aibu na kujiona wajaanjaaa na kutuona sisi ni wajinga kama wao
 
hayo ya kuteswa usije ukashangaa yalikuwa ni maigizo.
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia,Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
 
Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Yaani wewe utakuwa muoga hivyo hivyo hata ukiwa kaburini.
 
hayo ya kuteswa usije ukashangaa yalikuwa ni maigizo.
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia,Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
Kwa hiyo mwanajeshi akifukuzwa jeshini bado anakuwa mwanajeshi??
Kwa hiyo Hans Pope hakuwa raia??
 
Urio ametudharaulisha sana! Tena sana! Akiishi ataishi kwa taabu sana!!
 
Bila kupoteza muda, wakati mtuhumiwa wa kesi ya ugaidi, ex-komando Mohammed ling'wenye alipokuwa anatoa ushahidi wake kuna sehemu alisema haya;

"Wakati nipo kwenye chumba nilichofungiwa kituo cha polisi mbweni, nilisikia sauti ya mtu akilia kwa sauti ya kuteswa, na nilipochungulia nyuma ya dirisha niliwaona askari waliokuwa wanamtesa huyo mtu, na nilivyoangalia vizuri nikamfahamu alikuwa ni Luten Denis Urio"

Sasa basi nimejaribu kuunganisha maneno hayo ya Mohammed na ushahidi anao utoa huyu Denis Urio nikajikuta najiuliza maswali haya,

Je nikwanini sasa kina kingai walimtesa tena informer wao?

Je, nikwanini simu zake zote zilichukuliwa na kina DCI wakati ni informer wao?

Muda huwa ni shahidi mzuri sana wa ukweli. Acha mvua iendelee kunyesha matobo yote juu ya paa yajulikane.
Hahaahaaa!Mahakama za mitandaoni kazi kweli kweli!
 
Ni kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo

Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450

Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku

Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea

Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Alikuwa na salio jingine lililomwezesha kutoa kiasi hicho cha fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ex-komando, ukomandoo sio cheo ni professional hivyo auondoki kwa mtu kukosa kazi.

Wewe ukiwa daktari ukikosa kazi hutoitwa ex doctor utaendelea kuitwa daktari hivyo hivyo
 
Homeboy alijitengezea fursa ya kupiga hela kirahisi, hakujua kama kitakuja kuumana. Sasa kazi kwake kuchutama.
JamiiForums-1170600957.jpg
 
Kwa
Baunsa anatumia nguvu tu ya mwili wake bila akili wala mbinu na hata mafunzo yoyote ya silaha

Ila komandoo anatumia mbinu, akili na nguvu kidogo na mafunzo ya kutumia silaha za kivita hata za kijadi kama mapanga, sime, visu, mishale n.k mpaka karate, judo, wushu makomandoo wanaweza
Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,

Hata akitoka mwambieni aache kutumia makalio sasa umli umeenda, ni muda sasa wa kutumia akili kumalizia uzee wake.

Hata kama atashinda lakini picha inaonekana alikua na nia ovu ya kuleta vurugu na kumuua sabaya.
 
Kichwa chako kmejaa mavi matupu
 
Back
Top Bottom