Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ebu lione Kingai lenyewe utadhan amphibianView attachment 2097932
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu lione Kingai lenyewe utadhan amphibianView attachment 2097932
Tz imegawanyika pande mbili kwenye kesi hii.Washauri wa mama wako wapi? Wangemshauri afute hii kesi Ni aibu tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji122][emoji122][emoji122]!Ukishakuwa tu kada wa ccm, aibu hupotea tu yenyewe automatically. Na akili yote huhama kutoka kichwani na kwenda tumboni mara moja.
Ingewezekana Kama isingekuwa vitu vya kubumba!..hiyo mbinu walikuwa nayo isipokuwa nashangaa hawakuitumia.
..njia sahihi ilikuwa ni DCI kumkabidhi Lt.Urio makachero ambao angemlengesha Mbowe nao.
..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.
..washtakiwa wasingepokea simu ya Lt.Urio, ambaye alikuwa mwalimu wao, leo hii wasingekuwa wameingia ktk matatizo haya.
U snich wa Lt Urio umewekwa wazi kwa maswali aliyodondoshewa nahakamani...hiyo mbinu walikuwa nayo isipokuwa nashangaa hawakuitumia.
..njia sahihi ilikuwa ni DCI kumkabidhi Lt.Urio makachero ambao angemlengesha Mbowe nao.
..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.
..washtakiwa wasingepokea simu ya Lt.Urio, ambaye alikuwa mwalimu wao, leo hii wasingekuwa wameingia ktk matatizo haya.
mwenyewe Na Register iliyo nyofolewaNi nani ataithibitishia mahakama kuwa aliyekuwa akipigwa na kulia huko Mbweni ni Luteni Urio?
Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?Ebu lione Kingai lenyewe utadhan amphibianView attachment 2097932
Nani analeta masikhara kama si nyie na hao wanaombakizia kesi wengine? Watu wazima wanafanya mambo ya kitoto, KIJINGA, aibu na kukera. Cha kusikitisha, kuuma na kuudhi bado wanaendelea tu kudhihirisha ujinga wao bila aibu na kujiona wajaanjaaa na kutuona sisi ni wajinga kama waoUnaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Yaani wewe utakuwa muoga hivyo hivyo hata ukiwa kaburini.Unaleta masikhara kwenye vitu serious ndugu yangu?
Una uhuru wa kusema lolote ila sina hakika kama wamekuhakikishia huo uhuru baada ya kusema
Kwa hiyo mwanajeshi akifukuzwa jeshini bado anakuwa mwanajeshi??hayo ya kuteswa usije ukashangaa yalikuwa ni maigizo.
"Mwanajeshi hawezi kuwa raia,Ila raia anaweza kuwa mwanajeshi"
Hahaahaaa!Mahakama za mitandaoni kazi kweli kweli!Bila kupoteza muda, wakati mtuhumiwa wa kesi ya ugaidi, ex-komando Mohammed ling'wenye alipokuwa anatoa ushahidi wake kuna sehemu alisema haya;
"Wakati nipo kwenye chumba nilichofungiwa kituo cha polisi mbweni, nilisikia sauti ya mtu akilia kwa sauti ya kuteswa, na nilipochungulia nyuma ya dirisha niliwaona askari waliokuwa wanamtesa huyo mtu, na nilivyoangalia vizuri nikamfahamu alikuwa ni Luten Denis Urio"
Sasa basi nimejaribu kuunganisha maneno hayo ya Mohammed na ushahidi anao utoa huyu Denis Urio nikajikuta najiuliza maswali haya,
Je nikwanini sasa kina kingai walimtesa tena informer wao?
Je, nikwanini simu zake zote zilichukuliwa na kina DCI wakati ni informer wao?
Muda huwa ni shahidi mzuri sana wa ukweli. Acha mvua iendelee kunyesha matobo yote juu ya paa yajulikane.
Alikuwa na salio jingine lililomwezesha kutoa kiasi hicho cha fedhaNi kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo
Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450
Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku
Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea
Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,Baunsa anatumia nguvu tu ya mwili wake bila akili wala mbinu na hata mafunzo yoyote ya silaha
Ila komandoo anatumia mbinu, akili na nguvu kidogo na mafunzo ya kutumia silaha za kivita hata za kijadi kama mapanga, sime, visu, mishale n.k mpaka karate, judo, wushu makomandoo wanaweza
Kichwa chako kmejaa mavi matupuKwa
Kwani mbowe alikua vitani na nchi gani mpaka atumie makomandoo,
Hata akitoka mwambieni aache kutumia makalio sasa umli umeenda, ni muda sasa wa kutumia akili kumalizia uzee wake.
Hata kama atashinda lakini picha inaonekana alikua na nia ovu ya kuleta vurugu na kumuua sabaya.
Aqwilina aliuwawa.... Kwa hiyo unasemaje? Fafanua kauli .MaCHADEMA jipangeni kisaikolojia mnaenda kulia kama kwa Aqwilina