Hata kama walishirikishwa lakini haiwezi kusemwa. Vyombo vya kijasusi havizungumziwi hivyo. Na kwa tukio sensitive hivyo ni dhahiri VIlishirikishwa, Si ajabu hata lilianzia huko kabla ya kupelekwa kwa DCIHadi sasa nasubiri kusikia ni wakati gani Jeshi la Polisi liliishirikisha Idara ya Ujasusi ya Tanzania baada ya kusikia kuna uhalifu mkubwa unaoratibiwa na unahatarisha amani ya nchi na pengine uRais wa nchi...
Kesi ikiisha namtafta Urio anitafutie makomandoo wa kuwa mabaunsa wangu binafsi, maana nyumbani kwangu namamsap hakutawaliki!1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao...
Kama usnich upo hadi kwa maofisa wa juu wa kijeshi tena kwa kuwasinich wenzio kisa mbowe dah taifa leo kuna siku litaangamia / kuangamizwaHata hao makomandoo waliobaki kikosini unafikiri wanamuangaliaaje sasaivi?
Usimdhihaki. Alichokisema ni sahihi kabisa. Tatizo lenu mnafikiri uaskari ni kupigana ngumi ndio maana unawaza how possible for 1 Vs 100!!. Katika hali ya kawaida tu hata Komando mmoja anaweza kuthibitiwa na watu watano.Hivi ndivyo huwa mnadanganywa kwenye vikumbi vyenu vya sinema za kutafsiriwa kwa maneno ya Kiswahili..
Inasikitisha sana mkuu!Mijitu iko bize na ligi za mipira tu unategemea nini?
Ni stories za matukio tu asubuhi hadi jioni...huyo mtu lazima awe mjinga kupitiliza
Na bado hajazungumzia ni jinsi gani aliwashirikisha mabosi wake huko jeshini juu ya jambo kubwa Hilo la ugaidi.1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao...
Komandoo 4 ( sawa na wanajeshi 400) waasi wanaweza kupambana na kuwashinda komandoo 100 (sawa na wanajeshi 10000) walio waaminifu/ watiifu kwa serikali?Komando mmoja ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100,sasa komandoo wanne sini sawa na wanajeshi 400?.
Na Kwa mujibu wa Urio,hawa makomandoo walipelekwa Kwa mbowe kimtego tu ili baadae Mbowe akamatike,sasa mbona walikamatwa makomandoo kabla hata hawajaanza kuainisha miti ya kukata.Swali la msingi kwangu, je baada ya watekelezaji wa mipango yq ugaidi kukamatwa bila ya kumkamata mfadhili...je walikua na uhakika Kama mfadhili atashindwa na mipango.
Mbona shahidi uliyemtabiria hatakuja yupo mahakamani? Wewe ni muongo1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao...
Uzi wako uko sahihi lakini una uhalisia? Unaloandika ni sahihi tu kwa Komando mwenye Intelligence Quotient na Emotional Quotient kubwa. Umebaini kitu hapo? Tuna Watanzania wangapi wa aina hiyo?Usimdhihaki. Alichokisema ni sahihi kabisa. Tatizo lenu mnafikiri uaskari ni kupigana ngumi ndio maana unawaza how possible for 1 Vs 100!!. Katika hali ya kawaida tu hata Komando mmoja anaweza kuthibitiwa na watu watano...
[emoji23][emoji23]Tatizo lako unafikiri Makomando wa kwenye cinema kama akina Rambo.
Timu gaidi tulieni dawa iwaigieShahidi wa 12, Luteni Urio, au kwa kukusudia au kwa kulazimika, leo amewathibitishia wote kuwa Mbowe alikuwa anahitaji walinzi. Tena kwenye mawasiliano ya Telegram, Mbowe alitamka wazi kuwa kati ya hao watatu, wawili watakuwa full time na yeye...
Kwani kufanikiwa maishani unajua maana yake?halafu mbaya Zaid unakuta kakuzidi maisha
Kumbuka urio alisema kati ya hao makomandoo wawili wangekaa na mbowe full time, yaani wako na mbowe muda wote sasa ugaidi wangefanyaje au mbowe angegeuka komandoo wasaidiane kukata miti na kulipua vituo vya mafuta kwa amri ya kikosi command , mbowe.Na kwanini Mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi wake akiwa na Bilicanas?
Je, hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishirini?
Je, wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?