Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

Alafu hii lina ukweli....wanawake wajanja lazima wachague mwanaume mwenye future.
Kumbe sie ambao hatujawahi kubambikiwa mimba maana yake hatuna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni🤣🤣🤣🤣🤣
😁😁na wanajua kunusa sehemu yenye future hata kama kwa sasa huna kitu ,ila mwanamke anaona future yako , utasikia" nimekupenda hivi hiv hata kama una kitu" ,kumbe kaona huko mbele utakua vizuri😁😁
 
😁😁na wanajua kunusa sehemu yenye future hata kama kwa sasa huna kitu ,ila mwanamke anaona future yako , utasikia" nimekupenda hivi hiv hata kama una kitu" ,kumbe kaona huko mbele utakua vizuri😁😁
Am a living example wa hilo unalosema. Demu alinichana live kuwa mzabzab huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
Na kweli maisha hangu varangati tuu...nimeishia kuwa na uraibu wa nyeto ya mlenda vuguvugu na kula ugali mlenda wa mama wa kambo...huku mzee akinihifadhi kwenye kibanda cha uani
 
Sio kweli😁😁
 
SIO MINBA YAKO, ULTRASOUND HAIDANGANYI, HAIDANGANYI .

KAKUUZIA WEWE FALA.
 
Jina lako na ushauri uliyotoa ni tofauti.
 
Hiyo ni yako comrade, kama huamini subiri mtoto azaliwe halafu mkapime DNA ili kujiridhisha.

Ova
 
Another New Single Mother in Town
 
Chai
 
Mkuu nisikilize mimi kama una uhakika wiki tatu tu ndio zimepita tangu umemdinya basi hiyo Mimba sio yako.
Kama unataka maumivu endelea nayo.

Wewe kakuuzia mechi baada ya kutoka kwa Bwana wake mostly ni mume wa mtu au Mtu mzima ambaye hawezi kumuoa.

Chunguza pia namna alivyokupa gemu ulimuomba wewe au alikusogezea?
Ikiwa ulitumia nguvu ndogo au alikushawishi that is another circumstantial evidence.

Mimba chini ya 4weeks haionekani kwenye Ultrasound.
 
Mimba umri wake haihesabiwi siku mliofanya ,inaanza kuhesabiwa siku aliyoona siku zake za hedhi tarehe ya kwanza kwa mara ya mwisho.
 
Asee am comfused.. sijui nimsikilize nan humu, kila mtu na jibu lake ila weng humu wanasem inaonekana na inahesabiwa kuanzia siku yak ya kwanza aliokua period mar ya mwsh
 
Mimba umri wake haihesabiwi siku mliofanya ,inaanza kuhesabiwa siku aliyoona siku zake za hedhi tarehe ya kwanza kwa mara ya mwisho.
Weng wamejibu hvi huenda ikawa sahihi..maan nilikua na mashaka
 
Kwenye kuhesabu umri WA.mimba huwa unaulizwa mara ya mwisho kuona period
Kasome hata Kadi za clinic utaona mkuu
Kama.mlisex week Tatu zilizopita ninsawa .msisex danger. Days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…