Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

Kimondo kipo mbeya huku maeneo ya mboz,kuna siku tulikwenda na mwalimu wa geography kwa ajili ya kujifunza.....Mimi sasa,nilikuwa nakiangalia kama jiwe tu alilotumia Daudi kumuulia Goliath(sielewagi kitu mpenz)
Ha ha ha😂🙌
Nikienda Mbeya nitaenda kuangaliwa kimondo
 
Kimondo kipo mbeya huku maeneo ya mboz,kuna siku tulikwenda na mwalimu wa geography kwa ajili ya kujifunza.....Mimi sasa,nilikuwa nakiangalia kama jiwe tu alilotumia Daudi kumuulia Goliath(sielewagi kitu mpenz)
Eti kama jiwe alilotumia daudi hahaha

Kwenye elimu ya anga za mbali Hicho kimondo ni muhimu sana an it can be used to unlock the secrets of space, ningekua mwalimu wako wa geography ningekupiga bakora paka uelewe hahahaha.
 
Ha ha haa
 
Umefanya kazi kubwa sana ambayo wengine tulikua hatuelewi huyu ndugu utamuelewesha vp maana ni empty kabisa! Atleast sshv yale maswali yake yatakua yamepungua atapata mengine yenye uzito kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wangekua washakibeba siku nyingi sema uzito wake ndio ukawa changamoto, wakaamua kukata kipande kidogo.
Kile chuma sio cha dunia hii yaani "out of this world" hahaha
Na ndio maana hakikuungua kikaisha na wazungu wenyewe hua wakibauni kitu huko hua wanakuja kukicheck tena na kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nin kinasababisha hyo miamba itoke kwenye mihimil yake?
 
Nyongeza yako sio sahihi!! Kama una source iweke mkuu
 
Nyongeza yako sio sahihi!! Kama una source iweke mkuu
- You've all the information in the world (Right on your hand) yet umeshidwa kung'amua kitu kidogo kama hicho?

- By typing the right worlds a simple search engine inaweza kukupa chochote unachokitaka. Mtu makini angetafuta kwanza key words alafu ndio aulize au abishe.

- Kukusaidia ebu nenda kagoogle "Giant impact hypothesis"
 
Mkuu hebu jaribu kunijibu kwa kujenga hoja, tuachane na Mambo ya Google kwanza!!! Tumia maarifa na ujuzi ulionao kuhusu Fizikia ya angani,habari za Google hizo ni kutaka kukalilishana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…